Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Timu ikiwa Katika Matayarisho Kwa Ajili ya Kuwavaa Palace ↑↑↑.....
Kama alikusikiaLeo hamtoki loserfool, Benteke piga hao.
we jamaaa noma, na kweli hawajatoka.Leo hamtoki loserfool, Benteke piga hao.
anafaa kutumika kwenye utabiri.Kama alikusikia
NimekumissPoleni ndugu zangu.... jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Yaaani hunishindi mimi aiseeeeeeee!!! Mpka naumwa, leo nimelitafuta jukwaa hili sana kumbe unfollow bila kujua mweee!! ...uko poa? Kijiweni kwetu huji siku hizi tumekukosea nini?Nimekumiss![]()
![]()
![]()
![]()