everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nakusubiri kwa hamu sana hao hao weak players unaowasemea ndo watakaowamaliza.Siwezi kukimbia sredi yetu
Mashabiki wametetemeka kwa technical fluke ya Man U kwa Hazard wakimtumia Herrera!Alhamisi hawawezi hata pata sare kwa Man City!Rashford ndiyo atafanya nn kwa fit again Kompany?Au kw apair ya Ventongen na Alde wa Totenham?Tuache utani jamani
Man City na Liverpool watashindana nafasi ya 3 na ya 4!