uroto
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 445
- 231
Yani nnavyoangalia hii michuano ya UCL na kikosi chetu miaka yote kilivyo finyu,napata mashaka sana tutakapo qualfy next season
barca kwa sasa hawana mtu wa kuichezesha timu,hvyo naonga nguvu kubwa wataielekeza kwa kipenzi chetu Coutinho
klopp aache ubahiri,afanye usajir wa watu anaowataka wakutosha,ili tuwe na kikosi kikubwa