Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

New Star in town!!german machine in UK soil!!New Tactical Manager in epl.......press come and have press conference with tactical manager now, forget about Mourinho!!!....kwah kwah kwah 😛eace:

#JurgenKloppfortheKop
 
Klopp ni kocha mzuri ila nahisi itamchukua muda kupata mafanikio kuliko Ancelotti
 
Naamini Klopp atakuwa anasubiri nafasi ya Wenger msimu ujao.Anyway lolote laweza kutokea katika hii biashara
 
Our opponents get readyyyyyy, its a war against Jurgen not BR anymooo.........ha ha ha ha ha ha ha ha

You Will Never Walk Alone ##JurgenKloppfortheKops.
Am very happy to see you again, welcome......we are ready for challenge hope this season will be a wonderfull season ,zimebaki point zetu tatu kutoka kwenu......lol
 
Kazi hiyo imeanza
attachment.php
 

Attachments

  • 1444136851261.jpg
    1444136851261.jpg
    47.8 KB · Views: 172
Mnaweza mkamchukua klopp asiwe perfect man for the job.
Nimegundua hii kazi ya ukocha ni ngumu sana kwenye baadhi ya teams.
 
Brendan Rodgers ndio anamsubiri Wenger aondoke

Unaweza kushangaa akaja Emirates akawa very successful kuliko Wenger. Maisha ni mystery, unafeli A afu unapass B,C,D,E....
 
Mamadou Sakho has revealed how he received a text message from Steven Gerrard after donning the Liverpool captain's armband for the first time last month.

In the absence of Jordan Henderson and James Milner, the French defender was named as skipper for the Reds' Europa League draw in Bordeaux.

And afterwards, Sakho was sent a text message of congratulations from across the Atlantic by Gerrard.

"Steven is an example," said Sakho.

"Also, he often sends me small text messages like after my first match of the season at Bordeaux, in the Europa League, with the captain's armband.

"He texted me to congratulate me. He said: ‘Continue to fight like that, I'm proud of you.'

"It's always nice to receive such a message from a great player."
 
LFC FANS, msiamini kitu chochote kile ambacho mnasoma kwenye magazeti au kuangalia kwenye Tv stations mbali mbali AU kusikiliza kwenye magazeti.

UKWELI NI KWAMBA, JURGEN KLOPP NDIYO KOCHA MPYA WA LIVERPOOL FOOTBALL CLUB.

ANAWEZA AKATANGAZWA NA CLUB KESHO ALHAMIS NA KAMA SIYO KESHO BASI ITAKUWA NI IJUMAA, LAKINI KESHO NDIYO KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA AKATANGAZWA KAMA KOCHA MPYA WA LIVERPOOL FOOTBALL CLUB..
 
LFC FANS, msiamini kitu chochote kile ambacho mnasoma kwenye magazeti au kuangalia kwenye Tv stations mbali mbali AU kusikiliza kwenye magazeti.

UKWELI NI KWAMBA, JURGEN KLOPP NDIYO KOCHA MPYA WA LIVERPOOL FOOTBALL CLUB.

ANAWEZA AKATANGAZWA NA CLUB KESHO ALHAMIS NA KAMA SIYO KESHO BASI ITAKUWA NI IJUMAA, LAKINI KESHO NDIYO KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA AKATANGAZWA KAMA KOCHA MPYA WA LIVERPOOL FOOTBALL CLUB..

New era of the club about start
 
JK tu hakuna mwingine wameshakubaliana kila kitu na wanasubiri ijumaa wamtangaze, ingawa natamani angekuja CA

Ancelloti, ni shabiki wa LFC pia, been following LFC since 1984's, ni great LFC fan, ndoto yake ni kuja kufundisha LFC pia, lakin kwa model ya FSG ni ngumu sana, ANCELOTTI, anafanya kazi kwenye teams ambazo zinawork under a huge budget na ambazo tayari zina established WC/TC players, na demand yake ya mshahta si chini ya £9m per year.

ambapo rodgers alikuwa anaingiza £5m per year....JWH loves KLOPP (bado alikuwa na mkataba na dortmund-2012), ndo kocha wa kwanza aliyemfata baada ya kumfukuza kazi Daglish, aliposhindwa kwa Klopp akaenda kwa De Boer ambapo akagonga mwamba, then akaja kwa Martinez naye akagoma aliogopa presha ya kuwa LFC manager kwa wakat ule (alijitambua mapema), then ndo wakaja kwa BR..

Na CA huwa hakai kwenye club kwa zaidi ya misimu 2-3..ambapo JWH hiyo siyo style yake, coz LFC huwa anaiita ni Project.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom