Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,806
Kipa wa Hull ana sifa sana...
Anazingua sana asee..
Kipa wa Hull ana sifa sana...
Aliinyima ushindi Man United last week...Anazingua sana asee..
Hull City wameturudisha na mavuvuzela yetuHe he he he he, leo kimyaaa hakuna anaepiga vuvuzela hapa
Hongereni kwa ushindi wa kwanza wa 2017we are going to register first premier league win in 2017
Which time mkuu...umesoma dash board inasemaje after full timeTime will tell mkuu.
Nilijua leo watawafunga hawa Hull city nyingi kulingana na walivyokomaaa last week n.a. gemu Yao n.a. Chelsea.Liverfool they are so average...wanajua kukamia big match na kukimbia kimbia hoovyooo...