Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aende tu, hawa FSG naona kama bado wapo sana kuna makala nilisoma wachina walitangaza dau lao la kuchukua club naona jamaa wakachomoa nadhani waliona dau walotoa wachina dogo kuliko evaluation, je akija mtu mwenye dau linalo meet evaluation yao waloitaja wataachia club?
FSG hawakukataa dau lao walisema uwekezaji walioufanya ni mkubwa mtu akija na pesa nzuri watafanya take-over na walikuja £700m na hawakufanya hata mazungumzo mengi shuhuli ilienda kiunafki nafki kwasababu ya huyu huyu Ian
Pia Tusisahau Kua Huyu Ndiye CEO aliyekataa Ofa Za Mabilionea Wa Asia (Waarabu & Wachina) Hatimae Akawaleta FSG walioeka Maslahi Yao Ya Kibiashara Mbele bila Ya Kuangalia Maslahi Ya Timu....
Haswaaa! Hendry alisema Reus aletwe yeye akatia tena fitna
Ni bora asepe Ian ametuangusha kwenye mengi
Aondoke tu na anayo bahati ulaya watu ni wastaarabu ila laiti kama angekua bongo/africa angezomewa mchana kweupeee wakati akiondoka
 
c020656af7204ee389257012861159fc.jpg
 
FSG hawakukataa dau lao walisema uwekezaji walioufanya ni mkubwa mtu akija na pesa nzuri watafanya take-over na walikuja £700m na hawakufanya hata mazungumzo mengi shuhuli ilienda kiunafki nafki kwasababu ya huyu huyu Ian

Haswaaa! Hendry alisema Reus aletwe yeye akatia tena fitna

Aondoke tu na anayo bahati ulaya watu ni wastaarabu ila laiti kama angekua bongo/africa angezomewa mchana kweupeee wakati akiondoka
And Marco was very attracted to Anfield ila jamaa kwa ubanizi wake tunakosa wachezaji wazuri
 
Katika Mwezi Wa January Tumecheza Michezo 9, No othern EPL team played more than Liverpool.....
January Was our tough and miserable mouth.......

Lakini Mwezi Huu wa February Tuna Michezo 3 tu ambayo itasaidia Kwa Kiasi Kikubwa Kujenga Fitness Za Wachezaji....

The Most Advantage for us ni Kumaliziana Mapema Na Timu Kubwa!! Wanaotucheka Watakujaona Hapo Baadae Wakianza Kukutana Wao Kwa Wao.... Let us see a good example at the meeting between Chelsea vs Arsenal.......
Unamuombea mamamkwe afe halafu anakufa mama yako. Hatariiii, mind the gap.
 
Hope so mkuu, naona wametubahatisha kamoja, ila bado naimani tunawafunga.
Ndo imetoka hio msijipe moyo
waulizeni man utd tena walikua uwanja wa old trafford lakin matokeo yakawa bila bila, leo yuko home ground na mshafungwa tayari ...mtakujaje na ni wajanja sana katika kukaba na kuzuia mianya yote yani kama kumbikumbi walivo na ushirikiano
 
Time will tell mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom