Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Tungejikita kutoa pole kisha tukaondoka maswali mengine tunazidi kuwapa simanzi majirani zetu jamaniMatip alikuwepo au?
Tungejikita kutoa pole kisha tukaondoka maswali mengine tunazidi kuwapa simanzi majirani zetu jamaniMatip alikuwepo au?
Aisee wewe unafaa kuwa MtabiriWazee wa kukamia mechi. Najua kesho mtakamia ili msifungwe halafu jumamosi mtafungwa kama kawaida yenu.

Tungejikita kutoa pole kisha tukaondoka maswali mengine tunazidi kuwapa simanzi majirani zetu jamani
Aisee wewe unafaa kuwa Mtabiri![]()
![]()
![]()
Eeeeee moyo sukuma damu si vingine![]()
![]()
......... vingine hivi vitakuuua.....eeeeee moyo sukuma damu si vingineeee.......aaaaahhhhh kumbe nimesahau moyo mashine!!!..... poleni ndugu zangu ndo soka hilo jipeni moyo na hili nalo litapita.
He he he he, haya yapigeni hadi yapasuke mkuu.Hull City wameturudisha na mavuvuzela yetu
Weeeeee si ulisema una imani na Klopp? Hadi chini pale unamaliza na mahash tag kibao kwamba una imani naye? wapi hiyo imani banaaa!!!
Hahahahah relax soka bila fitina haliendi ukipata furahi ukikosa jutia....hii kutoka moyoni pole mtani wangu.Sawa Tuchekeni Mundeserve Kufanya Hivyo ni Wakati wenu Huu....
KeepKlopp sio kocha huyu....bvb kataka kuishusha ndio akakimbilia huku kwetu afu nikimwangalia Klopp nkakumbuka na mbwembwe zake kipind anakuja kwetu nabaki nacheka tu
Pole bana ni mapema sana kwani mwaka ameshafikisha eeehh? Msitumue timue kama sisi mtasheki shauri yenu!!!How Can I Carry on to trust Someone Who Try every thing to break My trust? Imani bila Ya Furaha ni Meaningless...