Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimesoma comment za watu humu tangu tutolewe kwenye League Cup, yaani basi tu. Inashangaza pale wanaojiita washabiki wa chelsea na wa arsenal kuiponda Liver kwa kutolewa katika mashindano ambayo wao wenyewe walishatolewa sijui lini huko!
Haya kuna hili la Mane kupelekewa private jet kumrudisha Liverpool. washamba wengi wamelishupalia! Suarez alikodishiwa ndege mara kadhaa, Coutinho na Firminho hivyohivyo... mnataka kusema kuwa mara zote hizo Liver ilikuwa kwenye crisis?!

Sikujua kuwa kuwa mshabiki wa timu pinzani inabidi upindishe mambo hata yale yaliyo dhahiri hivi. Mashabiki wanafiki na wanaojitoa ufahamu kiasi hiki nashindwa kuwatofautisha na wale wanaopaka kinyesi kwa mikono yao kwenye kuta za vyoo pale taifa!
 
Screenshot_2017-01-30-09-27-46.png
 
Welcome back Sadio Mańe



Wacha Unafiki Hizo Picha Ni Photoshoped Kwani ni Za Mwaka 2005 Liverpool Walipotwaa Champion League..... Na Ndiyomaana Pana Nembo Ya Carlsebarg na sio Standard Chartered.....
 
Aisee kweli England imeishiwa yaani huyu nyanya sijui laaana mchezaji bora ukistaajabu ya loserfool utayaona ya wolve
Sasa pale mwanitesa united kuna mchezaji gani mwenye kiwango cha Lallana? Wote kama mipunda tu isiyojielewa
 
Klopp: "I would advise anyone who wants to help - stay positive. We should try everything to make the best of the base we have made."
 
Remember when liverpool were top of the league for 1 week in October and their fans thought they would win EPL,UCL,Europa,FA Cup,Ballon D'Or,The voice of UK,America's got Talent,Masterchef Australia,X-factor,Big Brother,Tour de France...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom