Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jumanne USIKIMBIE kama kawaida yako
Wewe wala sina wasiwasi
Nakupiga easy tu!
Hauna beki kama za Soton hata nusu
Wewe ndio una beki?? Mbona vichekesho

Wewe una forwards ya kunisumbua mimi?? Maweeeeee

Beki nzuri kwa EPL mpk sasaivi iko chelsea tu.
 
Hapa Najiandaa Kuona Kituko Cha Klopp →→ Liverpool scouts have checked on Danish international left-back Riza Durmisi.

Durmisi plays for Real Betis and has a buy out clause set at £17million after signing from Brondby last summer.

Huyu Beki Katika Mkataba Wake Ana Kifungu Cha Buy Out Clause Cha £17m..... Kwamaana Unapomtaka Huyu Mchezaji Hulazimiki Kuongea Na Timu inayommiliki, Bali Unamfata Mchezaji Moja kwa Moja Na Kupatana Naye Mshahara/Maslahi Binafsi Baadae Unampa £17m Akaununue Mkataba Wake Hata Kama Timu Haiko Tayari Kumuuza Kwa Pesa Hizo, italazimika Kumuuza tu..

Kwahiyo Hakuna Mchezaji Anaeshinda Kupatikana Wakati Anapokuwa na Kifungu Cha BUY OUT CLAUSE, PERMANENT RELEASE CLAUSE au GOOD FAITH RELEASE CLAUSE...

Sasa Nitamuona Klopp Ni Mtu Wa Ajabu Sana iwapo Atashindwa Kumpata Hata Huyu anayeweza Kujinunulia Mkataba Wake Mwenyewe....
 
"IN KLOPP WE TRUST"

16266077_1835530630036169_6698516060493776163_n.jpg
 
"We have got one of the best manager in the world he's the only one who can bring the title back to where it belongs so if you have got any bad to say about Klopp go and support another team like the blue and white shit over the park."
 
Liverpool v/s Wolves

Starting XI:
Karius, Randall, Gomez, Klavan, Moreno, Lucas, Ejaria, Wijnaldum, Woodburn, Firmino, Origi.

Subs:
Mignolet, Milner, Stewart, Can, Wilson, Coutinho, Sturridge.

[HASHTAG]#InKloppWeTrust[/HASHTAG]
 
Hujamaliza kutaja kikosi, watu washanyukwa.. pole sana ndo ukubwa huo
 
Kikombe pekee loserfool watainua msimu huu!
 
Attachments

  • FB_IMG_1485456820123.jpg
    FB_IMG_1485456820123.jpg
    29.1 KB · Views: 40
"We have got one of the best manager in the world he's the only one who can bring the title back to where it belongs so if you have got any bad to say about Klopp go and support another team like the blue and white shit over the park."
Naona umeisha kazwa kamoja eee. Vip imeona eee
 
Msijali Possession mnaongoza mtafunga tu pia mpira bado kipindi cha kwanza
1aa27f83ca343d589175e600f1732d30.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom