SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Ndugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.
Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
Nani anataka kombe la mbuzi FA
FA ni ujinga tu na sio priority kwa Liverpool
Ndugu yangu King Ngwaba acha kujichosha bure kumuelewesha mtu ambaye ameshadhamiria kutoelewa.
Unadhani unayoyaongea hayajui? Au hayaoni?
Timu bado mbovu sana ..ni uwezo tu wa baadhi ya wachezaji ndo unaisaidia timu
Ndoumeandika nini iki.....???? Wachezaj kazi yao nini af kuna timu bila wachezaj?Timu bado mbovu sana ..ni uwezo tu wa baadhi ya wachezaji ndo unaisaidia timu
Wacha ubishi
Flights or train travel to Liverpool
Two night stay at the team's hotel
Match tickets
VIP experience at a Liverpool game
Anfield stadium tour
Access to a pre-match warm-up
Lunch with an LFC legend