Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe subiri kipigo ukiwa umetulia. Unadhan ukiongea ndo tutakuacha?. Coutinho , sturidge , hendo ndan..... labda mcheze 27 ndo tutatoka droo
Hizi tambo huwa nazipenda sana ususan pale mwenye tambo anapofungwa. Lets wait and see what will happen
 
Wachezaji wa liver ndo wachezaji wazembe zaid duniani maana mpk leo bado hawaja adopt mfumo wa kocha wao
 
Mtani jiandae kabisa kisaikolojia, Reading kala 4 salamu zenu Loserfool. Kwi kwi kwiiii

↑↑ Labda Kwanza Nianzie Hapa! Nakuuliza Hivi Huyu Reading Unajua Yupo Daraja La Ngapi Hata Ukafurahia Goli 4?

Ngoja tusubiri nyinyi huwa mnashindia mdomoni. Mbona sunderland vibonde wamewakalisha

↑↑ Kwani Katika Ya → Man U, Chelshit, Arsenal, Man City na Spurs nani Aliyetufunga Msimu huu? Sasa Nani Anaeshinda Mdomoni Kati Ya Sisi au Nyinyi na Genge Lenu?
Wacha Wivu Huo Liverpool Anashinda Uwanjani Kwa Vigenge Vyenu Munavyojiita Timu Kubwa!

Tena Tambua Kwaba! Liverpool Kwa Msimu Huu Katu Haiwezi Fungwa Na Timu Yoyote Kati Ya 6 Za Juu Kwenye Msimamo...

Na Kwakuongezea! Kwani Sunderland Alitufunga Ngapi vile? Manake Naona Unashangilia Ushindi Wa Sunderland Kwa Liverpool...!!
 
So 249 goals breaks Utd's all time record? Ian Rush hit 346 for Liverpool!
😀😀

15873623_1826278290961403_2319073284682725093_n.jpg
 
Lallana analipwa £60,000 kwa Wiki!!!!! So sad...
Wale wachina tunawahitaji waje wa take-over club yetu iingie kwenye soka la biashara sasa na ushindani FSG wanajali maslahi yao tu nasiya club watuachie timu
 
Leo Kwenye FA tupo Hivi ↓↓

Liverpool: Karius, Alexander-Arnold, Gomez, Lucas, Moreno, Stewart, Can, Ejaria, Ojo, Woodburn, Origi.

Subs: Mignolet, Klavan, Clyne, Wijnaldum, Sturridge, Firmino, Lallana.
 
Leo Kwenye FA tupo Hivi ↓↓

Liverpool: Karius, Alexander-Arnold, Gomez, Lucas, Moreno, Stewart, Can, Ejaria, Ojo, Woodburn, Origi.

Subs: Mignolet, Klavan, Clyne, Wijnaldum, Sturridge, Firmino, Lallana.
Game hii haionyeshwi ?
 
Ndugu naona mmetoa draw..Liverloser ni timu bora sana. Kweli hii ni mechi ya kutoa droo mkajipange maliverfool
71fda431bc538ec4b48f834aeed48d0c.jpg
 
↑↑ Labda Kwanza Nianzie Hapa! Nakuuliza Hivi Huyu Reading Unajua Yupo Daraja La Ngapi Hata Ukafurahia Goli 4?

↑↑ Kwani Katika Ya → Man U, Chelshit, Arsenal, Man City na Spurs nani Aliyetufunga Msimu huu? Sasa Nani Anaeshinda Mdomoni Kati Ya Sisi au Nyinyi na Genge Lenu?
Wacha Wivu Huo Liverpool Anashinda Uwanjani Kwa Vigenge Vyenu Munavyojiita Timu Kubwa!

Tena Tambua Kwaba! Liverpool Kwa Msimu Huu Katu Haiwezi Fungwa Na Timu Yoyote Kati Ya 6 Za Juu Kwenye Msimamo...

Na Kwakuongezea! Kwani Sunderland Alitufunga Ngapi vile? Manake Naona Unashangilia Ushindi Wa Sunderland Kwa Liverpool...!!
Wee una akili kwelii?? Unaitaje timu kubwa kama Chelsea "chelshit?" Em kuwa na adabu kidogo ni kiongozi wako ujuee....
 
Liverpool named the youngest starting lineup in their history for the goalless FA Cup third-round tie against Plymouth Argyle on Sunday.

The team named by Jurgen Klopp for the Anfield clash has an average age of 21 years and 296 days, beating the previous record of 22 years and 303 days from a league game against Wolves in 1965.
 
Jürgen Klopp on Today FA Cup: "I don't think the line-up was a mistake,'' he said. "I am responsible if you want to see it in a bad way. I always choose line-ups to win the game.

"We didn't think about the age. They are important players in our squad.''
 
Kweli plymouth ni ya kutoka nayo droo!!

Halafu mmejiongezea mzigo wa mechi za january hii.
Mtachoka sana wakubwa

Hayo Ni Mawazo Yako tu! Kilichotufanya Tutoe Draw leo Lengo la Klopp Ni Kurahisisha Mzigo Wa Mechi Tulizonazo Wiki Hii....

Kumbuka Kuwa Ndani Ya January Tuna Mechi 2 za LEAGUE CUP ikiwemo Moja Kabla Ya EPL na Man U.....

So, Klopp Kaeka Kwenye Benchi Wachezaji Wake Kwa Ajili Ya Nusu Final Ya LEAGUE CUP, na EPL vs Man U....

Ndomana Mechi Ya Leo Haikuwa Katika Priyority Yake Na Akaamua Kuanzisha Watoto Watupu Wakapambane na Kupunzisha First XI yake....

Mpira ni Mbinu sio kukurupuka... Kwenye Marudio Hakutakuwa Na Mzigo Kwa Liverpool Kwani Watacheza Madogo Wale wale! Kwahiyo Hakutakua Na Athari Kwa Wachezaji Wetu Wa Ligi...
 
Hayo Ni Mawazo Yako tu! Kilichotufanya Tutoe Draw leo Lengo la Klopp Ni Kurahisisha Mzigo Wa Mechi Tulizonazo Wiki Hii....

Kumbuka Kuwa Ndani Ya January Tuna Mechi 2 za FA ikiwemo Moja Kabla Ya EPL na Man U.....

So, Klopp Kaeka Kwenye Benchi Wachezaji Wake Kwa Ajili Ya Nusu Final Ya FA, na EPL vs Man U....

Ndomana Mechi Ya Leo Haikuwa Katika Priyority Yake Na Akaamua Kuanzisha Watoto Watupu Wakapambane na Kupunzisha First XI yake....

Mpira ni Mbinu sio kukurupuka... Kwenye Marudio Hakutakuwa Na Mzigo Kwa Liverpool Kwani Watacheza Madogo Wale wale! Kwahiyo Hakutakua Na Athari Kwa Wachezaji Wetu Wa Ligi...
hapo ni kujitetea tu mana kinachojulikana na timu ya liverpool kutoka draw na si madogo wa liverpool ndiyo waliotoka draw .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom