SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kumbe Chelsea weupe tu
Tutakujabariki ndoa mkija Anfield
Kumbukeni tuliwaoa September
Tutakujabariki ndoa mkija Anfield
Kumbukeni tuliwaoa September
Wapi Ntuzu?Kumbe Chelsea weupe tu
Tutakujabariki ndoa mkija Anfield
Kumbukeni tuliwaoa September
Anaongea na Mrusi vipi wanunue Ubingwa January ishaingia.Wapi Ntuzu?
Karibu sn tarehe 4 uone tunamvyompiga mtu
Mwambie huyo maana yuko kwakwe anacheza kwa kuvizia vizia km mbwa koko
He he heee!...Kwa jinsi mpira usivyo na adabu, utakuja shangaa Chelsea nae anapigania top 4..
YNWA
Maneno yake mengiii huyu bwana mwache aende zakeKuna Siku Nilikwambia Kuwa Umeongoza Ligi Kwa Sababu Umepata Advantage Ya Kuwa Timu Ngumu Nyingi Umecheza Nazo Home Game na Awaya Game Umecheza Na Vibonde, Ukabisha.. Ona Sasa...! 😀😀
Spurs (Away) Kakudonoa...
Liverpool (Away) Atakudonoa...
Man U (Away) Atakudonoa...
Everton (Away) Atakudonoa...
Katika Timu Hizo Hapo Juu Humfungi Hata Mmoja Kwenye Round hii...
Mlivopata sare nyie kwetu sisi ndio ilikua nafuu yetu....Wapi ntuzu?wapi wacha?
Mbona mmeingia mitini mapema hivo?
gam ya man u kwetu ngumuwe deleeee (Joti Voice)2-0 and counting
Dele Ali hiyoooo
Aah umekuja huku. Hapa ndio soka linapochambuliwa. Hey kops jamaa anaomba kuwa kopites mwenzenu.![]()
![]()
gam ya man u kwetu ngumu
Dah mechi ngumu, mane hayupo, coutihno, milner, Henderson na sturidge haijafahamika Kama watakua fit.![]()
![]()
gam ya man u kwetu ngumu
Points 6 zangu hizo nina uhakika 100%Kwa kwa kwa
Anajua mpira chuma huo utayeyushwa ktk machinjio ya OT na Etihad na tarehe 31 so lazima asiwe na uhakika na ubingwa...