Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Which beginning mkuu?????
The Start of 2016/17 season after F**k off Arsenal...
Which beginning mkuu?????

Acha kukata tamaa mkuu. Kumbuka timu iliingia ikiwa na uchovu. Tulicheza jumamosi tukawa na siku moja ya kupumzika, jana tena tukacheza. Mimi bado naamini tuna nafasi ya kushindana. 5 points si nyingi ukizingatia our rival chelsea ana tough fixtures.
Amini nakwambia baada ya game tano kutakuwa mabadikiko makubwa kwenye msimamo wa ligi. Usishangae tukiwa pale juu
Liverpool fc YNWA
Mkuu wewe timu yako ipiLiver ni timu ambayo nilikuwa naipa nafasi kubwa ya kumtoa chelsea pale juu kutokana na timu yangu kuiona kutokuwa na uwezo wa kumkamata chelsea, kumbe na nyie ni ovyo kabisa . Mnashindwaje kumfunga sunderland . ama kweli leo nimeikumbuka nyimbo ya mtulize kabla hujatulizwa kudadeeki.
Mkuu nimecheka wapi hapo? Nikicheka huwa nachema namna hiii ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding .... Dong. BTW Gunners hata siku moja huwa hatulalamiki mkitufunga huwa tunalala usingizi wa pono tu, maana tukiamua tu tunawapiga magoli. Tatizo lenu mechi nyingi huwa mnakamia sana, just relax and enjoy the game. Karibu Emirates basi! Uone kitale cha uhakika, sisi huwa hatununui game kama Manure au Chelsick ni kabumbu swafi na wewe unalifahamu hilo. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG].Hivi Na Nyie Arsenal Timu Yanu ilivyo Ni Wakumcheka Liverpool??
![]()
![]()
Mkuu nimecheka wapi hapo? Nikicheka huwa nachema namna hiii ... .... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding .... Dong. BTW Gunners hata siku moja huwa hatulalamiki mkitufunga huwa tunalala usingizi wa pono tu, maana tukiamua tu tunawapiga magoli. Tatizo lenu mechi nyingi huwa mnakamia sana, just relax and enjoy the game. Karibu Emirates basi! Uone kitale cha uhakika, sisi huwa hatununui game kama Manure au Chelsick ni kabumbu swafi na wewe unalifahamu hilo. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG].
Bora mkiwa mnakiri hivyo wazi waziYah! Nimekuelewa! Hata hivyo Tumo Ndani Ya Same boat....
Mpaka Sasa Aliye Na Uhakika Wa Kuwemo Katiaka Top 4 ni Chelsea Pekee...
Lakini Kwa Liverpool, Man City, Arsenal, Spurs na Man U hawa Wote Dilemma Lolote Laweza Kutokea ni Lazima Wawili Wakae Pembeni...
Yah! Nimekuelewa! Hata hivyo Tumo Ndani Ya Same boat....
Mpaka Sasa Aliye Na Uhakika Wa Kuwemo Katiaka Top 4 ni Chelsea Pekee...
Lakini Kwa Liverpool, Man City, Arsenal, Spurs na Man U hawa Wote Dilemma Lolote Laweza Kutokea ni Lazima Wawili Wakae Pembeni...
We wacha 1. Unauwakika na unachokisema lini chelsea wamenunua gemu.
alafu mie nashangaa watu hasa wa Arsenal BAK kashangilia goli la Defoe utafikiri yeye Subderland na wasiwasi na mashabiki wao hata Arsenal yake jana Geroud hajamshangilia vile alivyoandika Defoe humu dah bora awe Sunderland sie tunashangilia wachezaji wetu tu YNWA!Hivi Na Nyie Arsenal Timu Yanu ilivyo Ni Wakumcheka Liverpool??
![]()
![]()
siukweli anasema sio plastic kama nyie wenzako wanakuja kufananabisha Liverpoolfc na Nottingham forest hata siku moja haiwezekani, Liverpoolfc simnasema timu ya History? angalau wanayo true History na kuanzia 90's mpaka hizi 2000's imeendelea kubeba bila kununua Kombe kwa jeuri ya pesa itakuwaje timu ya Historia peke yake? Nyie historia mnayo? kama ndio kutengeneza hata sie tumo kwenye kutengeneza, Nottingham CL hamumuoni ndio wakufananishwa na nyie Britisha timu mbili tu hata Pep kawaambia Manchester City so Chelsea nao mna miaka sana kufananisha LFC na Nyie bado sana. 18,05,07 na kazalika unapisema Bottingham Forest sawa na LFC tizama kipimo cha kabati lenu na Nottingham Forest. YNWA.Bora mkiwa mnakiri hivyo wazi wazi
Kwa jinsi mpira usivyo na adabu, utakuja shangaa Chelsea nae anapigania top 4..Yah! Nimekuelewa! Hata hivyo Tumo Ndani Ya Same boat....
Mpaka Sasa Aliye Na Uhakika Wa Kuwemo Katiaka Top 4 ni Chelsea Pekee...
Lakini Kwa Liverpool, Man City, Arsenal, Spurs na Man U hawa Wote Dilemma Lolote Laweza Kutokea ni Lazima Wawili Wakae Pembeni...
kumbe wamesurrendar!Bora mkiwa mnakiri hivyo wazi wazi
kumbe wamesurrendar!Bora mkiwa mnakiri hivyo wazi wazi
Teh Teh Teh Teh.....siukweli anasema sio plastic kama nyie wenzako wanakuja kufananabisha Liverpoolfc na Nottingham forest hata siku moja haiwezekani, Liverpoolfc simnasema timu ya History? angalau wanayo true History na kuanzia 90's mpaka hizi 2000's imeendelea kubeba bila kununua Kombe kwa jeuri ya pesa itakuwaje timu ya Historia peke yake? Nyie historia mnayo? kama ndio kutengeneza hata sie tumo kwenye kutengeneza, Nottingham CL hamumuoni ndio wakufananishwa na nyie Britisha timu mbili tu hata Pep kawaambia Manchester City so Chelsea nao mna miaka sana kufananisha LFC na Nyie bado sana. 18,05,07 na kazalika unapisema Bottingham Forest sawa na LFC tizama kipimo cha kabati lenu na Nottingham Forest. YNWA.
Jamaa kumbe wabovu wa kuzuia set piecesAsante tottenham!....
2-0 and countingMkuu vipi???? Naona mko kimya humu goma limekua gumu