Moyes ni mpumbavu tu , akikutana na wenzake analiwa kirahisi tu,Bila Ya Kusahau Tukumbuke Kuwa Leo Tumedraw na Relegator! Very very very Disappointing....
Mkuu vipi???? Naona mko kimya humu goma limekua gumuMoyes ni mpumbavu tu , akikutana na wenzake analiwa kirahisi tu,
Klop kosa anarudia Mara ya pili, mechi na alimuanzisha sturadge na leo emerudia kosa, huyu jamaa si wa kuanza hata mechi moja
Which beginning mkuu?????This is my Belief from the beginning! "WE ARE NOT TITTLE CONTENDER, WE ARE TOP 4 CONTENDER"....
Hii ngoma inasubir j5 , hamnakiwi hata droo hiyo mechi, pasi na hapo mnapotea,Mkuu vipi???? Naona mko kimya humu goma limekua gumu
Acha kukata tamaa mkuu. Kumbuka timu iliingia ikiwa na uchovu. Tulicheza jumamosi tukawa na siku moja ya kupumzika, jana tena tukacheza. Mimi bado naamini tuna nafasi ya kushindana. 5 points si nyingi ukizingatia our rival chelsea ana tough fixtures.This is my Belief from the beginning! "WE ARE NOT TITTLE CONTENDER, WE ARE TOP 4 CONTENDER"....
Kwahiyo ni Loserfools pekee ndiyo waliocheza Jumamosi na jana?!? [HASHTAG]#ManUnited[/HASHTAG] kacheza pia hivyo hivyo na kushinda...[HASHTAG]#achaexcuses[/HASHTAG]Acha kukata tamaa mkuu. Kumbuka timu iliingia ikiwa na uchovu. Tulicheza jumamosi tukawa na siku moja ya kupumzika, jana tena tukacheza.
Msiomkubali hendo naamini Leo mmejionea umuhimu wake
Kwahiyo ni Loserfools pekee ndiyo waliocheza Jumamosi na jana?!? [HASHTAG]#ManUnited[/HASHTAG] kacheza pia hivyo hivyo na kushinda...[HASHTAG]#achaexcuses[/HASHTAG]
DS pia ni tatizo anapoza sanaCan anapoza sana mipira,bora ya Henderson anagawa pass haraka timu inakuwa kwenye spidi muda wote. Muunganiko wa kiungo na washambuliaji haukua mzuri Jana.