Conte tumemwoa
Wenger tumemwoa
Maureen kakimbia mahari Guardiola tumemvisha pete juzi
There's nothing for us to prove this season
 
Screenshot_2017-01-02-14-20-09.png
 
Jürgen Klopp: "If anybody else thought we need to be champions this year, then maybe it's a little different, but we are fine. We are where we are."

"If we could end there, cool. But if we are there, five match days before the end, and only a few points, then we can really start thinking about something else -- but not at the moment."
 
Kwa kwa kwa

Anajua mpira chuma huo utayeyushwa ktk machinjio ya OT na Etihad na tarehe 31 so lazima asiwe na uhakika na ubingwa...
 
Hiyo Kauli Ni Katika Mbinu Ya Mpira Lakini Hakuna Kocha Asiyekuwa Na Tamaa Ya Ubingwa.....

Jengine Ni Kwamba Klopp Anatimiza Mwaka Mmoja Sasa Tokea Kuichukua Timu! Kwahiyo Lengo Lake Hasa Ni Future (May be Next Season), Na Ndiyomaana Akawa Anasajili Vijana Kwa Ajili Ya Kutengeneza Timu Yake Mwenyewe itakayoendana Na Filosofi Yake na sio ile Ya Kurithi Kwa Watangulizi Wake....

La Mwisho Ni Kuwa Maranyingi Umegeuka Na Mawazo Sawa na Na Washabiki Wa Man U! Unajua Kwanini??

Washabiki Wa Man U siku Zote Hupangia Timu Kubwa Zilizopo Juu Yake Katika Msimamo Kuwa Zitapoteza Points Pale Zitakapocheza Wao Kwa Wao ilo Man U isonge Mbel... Swali ni Hili: "Je Wao Man U hizo Timu Kubwa Hawatakutana Nazo?? Au Watazifunga Zote???

Sasa Na Wewe Umesahau Kuwa Hizo Timu Atakazocheza Nazo Liverpool, Nawewe Pia Utacheza Nazo...

Wewe Utacheza na ↓↓

Spurs → WHL
Everton → GP
Man U → OT
Liverpool → AFD
Man City → Darajani
Arsenal → Darajani

Sasa Usijisahau Mkuu! Hao ↑↑ Hawatacheza Na Liverpool tu!!! Bali Hata Wewe Utacheza Nao Na Utadondosha Points Hapo...
 
Hizo game sita sipotezi ata moja
 
Kwani Hii Round Ya Kwanza Chelsea Hawakuzitaka Points 3?? Mbona Tumezichukua Ndani Ya Darajani??
Hivi Chelsea Kawa Mpinzani Kwa Liverpool Kuanzia lini Hata Atake Points 3?
Tatizo lenu moja tu. Mkifunga mara moja tu shida. Ebu weka recodi hapa tuone
 
Nimesema sisi leo ndio fainali , tukishinda sisi mabingwa lakini tukifungwa au kudroo basi ndio tumefikia tamati ya ubingwa
Kwani mimi nimesemaje Jamani?? Mimi nimesema km ligi inaisha leo sisi lazima tupewe ubingwa
 
Back
Top Bottom