Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Waliwashika mwanzo mwisho.... Usitake kubisha mkuuKipindi cha kwanza chote tuliwashika City vilivyo...wao walikuja kutubana kuanzia dk 55 mpaka 75 hivi.
Waliwashika mwanzo mwisho.... Usitake kubisha mkuuKipindi cha kwanza chote tuliwashika City vilivyo...wao walikuja kutubana kuanzia dk 55 mpaka 75 hivi.
Mkuu may be tulikuwa tunaangalia mechi mbili tofautiWaliwashika mwanzo mwisho.... Usitake kubisha mkuu

Na nani anatamani matokeo ya mwenzake?Nani anaongoza ktk hizo statistics?? Anaeongoza ndio alikua kakamata mchezo huo ni ukweli usiopingika
Sawa walitushika vp point 3 nan alichukua? Inaeelekea Liverpool ikishnda unaumia sana.. hakika msimu huuu utaumia sanaa... na hicho kirekod chenu cha kushinda game 13 mwisho wake ni hapo white hart lane...Waliwashika mwanzo mwisho.... Usitake kubisha mkuu
Liverpool inamuumiza sana uyu mtuSawa walitushika vp point 3 nan alichukua? Inaeelekea Liverpool ikishnda unaumia sana.. hakika msimu huuu utaumia sanaa... na hicho kirekod chenu cha kushinda game 13 mwisho wake ni hapo white hart lane...