Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.
Tusubiri muda ufike tuone
Mkuu Chukua Hakiba Ya Maneno hii →→ ""MTU HATONGOZI MKEWE""
Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.
Tusubiri muda ufike tuone
Well, hongereni sn lkn si kwa uchezaji huo.....Unachungulia kwa aibu maana bado upo online.
City kwa LFC ni kama mtu na mkewe,.....haihitaji kutongoza ili apate points tatu.
Haya kuja utoe salamu zako za pongezi kwa LFC, usiwe na roho ya kibaba.
Well, hongereni sn lkn si kwa uchezaji huo.....
Happy new year Wakuu
Hapa sasa unaota. Unafikiri wao hawana shida na hizo point 3. Angalia maneno yako hayo kakaI'm Happy For another Clean Sheet...
Tatizo Lipo Sehemu Moja Tu Katika Kumfukuza Chelsea!
Ni Kwamba Timu Nyengine Zote 18 zilizobakia Hazina Uwezo Wa Kumzuia Chelsea...
Ni Sisi Liverpool Pekee Ndiyo Twenye Uwezo Wa Kumzuia Chelsea..
Point iko hapa! Chelsea Anaongoza Kwa Points 6, Na Liverpool Tunauwezo Wa Kuchukua Tatu Kutoka Kwake Ndani Ya Anfield Hapo January 31... Je Hizo Tatu Zilizobakia Atazuiwa na nani???????
Lets Hope Kwa Man U, Everton and Spurs....
Hapa sasa unaota. Unafikiri wao hawana shida na hizo point 3. Angalia maneno yako hayo kaka
Hamuwezi kuchukua points tatu kwa chelsea tena. Hilo msahau kabisa.I'm Happy For another Clean Sheet...
Tatizo Lipo Sehemu Moja Tu Katika Kumfukuza Chelsea!
Ni Kwamba Timu Nyengine Zote 18 zilizobakia Hazina Uwezo Wa Kumzuia Chelsea...
Ni Sisi Liverpool Pekee Ndiyo Twenye Uwezo Wa Kumzuia Chelsea..
Point iko hapa! Chelsea Anaongoza Kwa Points 6, Na Liverpool Tunauwezo Wa Kuchukua Tatu Kutoka Kwake Ndani Ya Anfield Hapo January 31... Je Hizo Tatu Zilizobakia Atazuiwa na nani???????
Lets Hope Kwa Man U, Everton and Spurs....
Na wasi wasi sana kama Henderson kaumiaHawa tutashinda ila shughuli IPO, Anfield tulishinda kwa mbinde sana