Kikosi hicho apo
9172a23cd538e102c5e01fe2db58ff4d.jpg


Na Positions Zao Zitakua Hivi ↓↓

2017-01-02_17.49.17.jpg


Liverpool:
Mignolet, Clyne, Lovren, Klavan, Milner, Can, Wijnaldum, Lallana, Mane, Firmino, Sturridge.

Subs:
Karius, Moreno, Lucas, Origi, Stewart, Alexander-Arnold, Ejaria.
 
Tatizo lenu moja tu. Mkifunga mara moja tu shida. Ebu weka recodi hapa tuone

Mimi Huwa Sina Kawaida Ya KuwaQuote Kama Nyinyi Msiojua Hata Rekodi Za Timu Yenu Kwenye Kushinda Na Kufungwa....

Sasahivi ni Mwaka 2017, Labda Kwa Kuanzia Ungetafuta Mara Ya Mwisho Kwa Chelsea Kufunga Liverpool ilikuwa Mwaka Gani? 2016? 2015? 2014? 2013? and.......
 
sikuona haja ya Mane kuushika Moira two poor penalties
Can was not enough good today
klopp Must Do something in this transfer window",..¡!
 
Pamoja Na Hayo: Timu imeperform Vizuri tu na Sijaona Tatizo la Kiuchezaji La Kukatisha Tamaa! Bali Katika Msimu Ambao Tutapigiwa Penalties Nyingi Ni Msimu huu Kwani Players Wetu Wanakua Careless Sana Wanapokuwa Ndani Ya Penalty area...
 
Kilichobakia Tufocus Zaidi Katika Timu Yetu Na Tusiwe Na Hesabu Zile Za Kudowea eti adondoke Nani ili sisi Tupande juu.....
 
Hahahha yani mijitu bana. Ilikosa vya kusema muda woote huo, leo Liverpool imetoa draw, bila aibu yamejazana hapa. Sijui tungefungwa ingekuaje?

Anyway, timu yako wewe ipo wapi kwenye msimamo? Ya sita!
 
Back
Top Bottom