Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Nyie vepe niumie kwa lipi hasa??? Jongoo wangu mwenyew nimshikie manati ya nini??Sawa walitushika vp point 3 nan alichukua? Inaeelekea Liverpool ikishnda unaumia sana.. hakika msimu huuu utaumia sanaa... na hicho kirekod chenu cha kushinda game 13 mwisho wake ni hapo white hart lane...
Liverpool inamuumiza sana uyu mtu