Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

unpopular opinion guys..

i'd sign Adama Traore in January..

lacks end product, but he's so good at creating chances and forcing the oppositions at the park. Klopp praised him a lot baada ya game..said he had a game plan for him..

can see klopp going for Promes or Azmoun though..
 
hahahaha

Mignolet always huwa anareact vizuri akiwekwa bench..

si unakumbuka hata kipind kile BR alivyomweka bench dhidi ya Brad Jones..alivyorudi alicheza vizuri..then akarudi kwenye errors tena..

confidence ni main problem kwa Migs.
Sure iyo kitu ilitokeaga
 
lol, Guess Zorc hana pressure, dogo mkataba wake unaisha 2019..kumtoa pale inahitajika hela ndefu, and anajua klopp hawez toa kiasi atakajohitaji kwasasa..

but i think, we should be targeting options za kwenye defense, sana sana new CB..

Pulisic hawezi ondoka January,Next summer Dortmund watakuwa na tour US na uwepo wa Pulisic ndio uliwa-influence kwenda US ndio maana Zorc kasema Pulisic hawezi uzwa kwa sasa
 
Yes we must have a plan kabla ya January maana khali inaweza change EPL kuna rough nyingi sana injury ni tatizo kubwa hope progress ya Matip iko vizuri ametrain Melwood hope on Monday unaweza anza and thanks God Yanic Bollasie bado atakuwa nje maana kwa speed yake angetoa challenge kubwa kwa defenders wetu na ni mzuri wa krosi kitu ambacho kipa zetu hawako makini nazo issue itabaki kwa Baines kutokuruhusiwa kusogea mbele maana ni mwepesi wa mipira ya krosi pia
 
Pulisic hawezi ondoka January,Next summer Dortmund watakuwa na tour US na uwepo wa Pulisic ndio uliwa-influence kwenda US ndio maana Zorc kasema Pulisic hawezi uzwa kwa sasa

yeah..could be a factor..

but kwenye mpira kila mchezaji ana Price..

anyways, cant see him moving in january pia..

guess we will try kwa Promes or Azmoun..
 
Timu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
 
Timu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
Liverpool is like religion atuhitaji Maneno yenu you are free to move from this forum tunajadili issue ambazo zinagusa klabu yetu pendwa,na raha ya shabiki ni ushindi so tuache
 
Timu hii washabiki Mnamipango hongereni sana kama mko kwenye kamati ,anunuliwe huyu mapema,huyu auzwe,akipatikana huyu......
katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.
Hakuna mchezaji anaetaka kucheza makumbusho
 
katika wachezaji 10 wanaojadili wanunuliwe anakuja mmoja tu.
Hakuna mchezaji anaetaka kucheza makumbusho

Pole Na kipigo cha Guardiola
Arsenal ni timu ndogo sanaaaa
Unless mshinde uefa champions league ndio mtaingia kwenye orodha Ya UEfa elites
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom