They have done exactly what we did to Dortmund so pitifulDuh!
Huu ni upuuzi sasa, from two nil at half time mpaka kufungwa nne kwa tatu!
Am very disappointed kwa kweli...
Mpinzani wetu kwenye ubingwa mwaka huu ni Chelsea
Hawa Man City na Arsenal hamna kitu,February sisi na Chelsea atakaye pona kuwa na majeruhi wengi ndiyo bingwa
Very disappointed kwa kweli. Timu haikuwa vizuri kwa kweli. 70% ya mpira tumecheza nusu yetu. Posi za nyuma tuuuu au za pembeni. Wachezaji hawana physics, wamekuwa laaini kama wamekula mlenda.Duh!
Huu ni upuuzi sasa, from two nil at half time mpaka kufungwa nne kwa tatu!
Am very disappointed kwa kweli...
***** zao wameshindwa hata kutoa sare kenge hawa.....aaarrrggghhhhKutoka 2-0 kuja 2-1, halafu 3-1 and finally 3-4.
Naona Karius amelewa sifa, beki nayo ni ya kurekebisha.
Yaani hii gemu imeniuma sana,SANA!They have done exactly what we did to Dortmund so pitiful