Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina amani na hii backline kabisa. Kwa nini Klavan asianze badala ya huyu jamaa (red)?

Nahisi tuta-concede free kicks za kizembe kwenye danger areas kwa vile hawa jamaa wana attacking mids wazuri sana.
Lucas vs Calum Wilson = penalty inaita hapo.

Worried!
Hahaaaa naamini hiyo red ni Lucas ... let us wait nitarudi baada ya half ya kwanza maana Bournemouth..!!??
 
upload_2016-12-4_13-35-40.png


So, should we be expecting a five-Gaul thriller this afternoon?
kny BBC sports .... .
 
upload_2016-12-4_13-38-10.png


Majogoo aka Cops mko wapi bana msijifiche kama timu flani ... .... ... . .
 
Wakuu nilipo umeme umekatwa, nategemea updates zenu hapa jamvini. Any link ambayo nitaweza kuangalia mtanange huu...please
 
Mkuu Matip ni Injury wa Ankle Kwahiyo Nafasi Yake itachukuliwa na Lucus...
Kikosi Confirmed ni hichi ↓↓

Liverpool team: Karius, Clyne, Lovren, Lucas, Milner, Henderson, Can, Wijnaldum, Mane, Firmino, Origi.

Substitutes: Mignolet, Klavan, Moreno, Alexander-Arnold, Ejaria, Lallana, Woodburn.
Kwanini Klavan asingeanza badala ya Lucas?
 
Hili game tuna goli tano au zaidi.....tusubiri tuone.....dak 2 na sec. 4 goli mbili.
 
Ila Chelsea ananiogopesha mno

naona ubingwa ni Chelsea na sisi tu....

na sioni timu ya kuifunga Chelsea ingine

nilitegemea City na Spurs waweke breki but wapi
 
Mpinzani wetu kwenye ubingwa mwaka huu ni Chelsea
Hawa Man City na Arsenal hamna kitu,February sisi na Chelsea atakaye pona kuwa na majeruhi wengi ndiyo bingwa
 
Ila Chelsea ananiogopesha mno

naona ubingwa ni Chelsea na sisi tu....

na sioni timu ya kuifunga Chelsea ingine

nilitegemea City na Spurs waweke breki but wapi
Ni vigumu sana kwa Chelsea kupigwa na wakubwa,
Chelsea mara nyingi anapigwa na kina Sunderland, Swansea & co.
Tukimpiga City tutajiweka kwenye nafasi nzuri.....kwa sasa tuendelee kuwanyuka madogo.
 
Ni vigumu sana kwa Chelsea kupigwa na wakubwa,
Chelsea mara nyingi anapigwa na kina Sunderland, Swansea & co.
Tukimpiga City tutajiweka kwenye nafasi nzuri.....kwa sasa tuendelee kuwanyuka madogo.

naombea Chelsea wakiyumba wayumbe mfulululizo..hata game 3 hivi
naona City ndo baasi
ubingwa watausikia redioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom