Cha msingi tuwachape tu hata nne moja au tukomae na hii hii tatu moja tuliyonayo!Hiyo huwa ngumu kidogo kama tumefunga hahahaaha
Hiyo huwa ngumu kidogo kama tumefunga hahahaaha
Timu ya wote ndiyo nzuri mkuu...Ni vigumu sana kujutia kuwa shabiki la Liverpool,
Timu haina Cou, wala Sturridge lakini inaongoza tatu.
Liver ya Benitez ilikuwa ya Gerrad na Torres
Liver ya Rodgers ilikuwa ya Suarez na Sturridge
Liver ya Klopp ni ya timu yote.
WamedrawClean sheet imeota mbawa...