Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpinzani wetu kwenye ubingwa mwaka huu ni Chelsea
Hawa Man City na Arsenal hamna kitu,February sisi na Chelsea atakaye pona kuwa na majeruhi wengi ndiyo bingwa

Unatangaza ubingwa baada ya mechi 14 .... .... ... hongera sana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • upload_2016-12-4_14-3-58.png
    upload_2016-12-4_14-3-58.png
    94.1 KB · Views: 38
naombea Chelsea wakiyumba wayumbe mfulululizo..hata game 3 hivi
naona City ndo baasi
ubingwa watausikia redioni
Sure! sasa hivi wa kumwombea njaa ni Chelsea,
Hawa wengine ni wasindikizaji tu.....Liver inatakiwa ishinde kila game.
 
Bourn wamenyimwa pen hapa all replays zinaonyesha hivyo, chacha huyu refa atatafuta sababu next time baada ya mistake ... ....
 
Kwa vyovyote vile lazima Liver iwe na GD kubwa,
Huu msimu hautabiriki, huenda points zikafungamana.
 
Bourn wamenyimwa pen hapa all replays zinaonyesha hivyo, chacha huyu refa atatafuta sababu next time baada ya mistake ... ....
Inabidi uanze kuvaa miwani. Hamna penalt pale, jamaa alijiangusha.

Pamoja na kuwa mbele kwa goli mbili sijafurahia jinsi tulivyocheza. Tumepiga pasi za nyuma nyingi sana. Sitashangaa hii first half mabeki wetu wakaongoza kwa touch ball kuliko viungo wetu, Hedo na Wildjinaldum.
 
Nikweli mpira haswa hatujaucheza hii first half n pasi nyingi nyuma kutokana n mchezo WA Hedo anapenda pasi za nyuma yuko tofauti n Can
 
Inabidi uanze kuvaa miwani. Hamna penalt pale, jamaa alijiangusha.

Pamoja na kuwa mbele kwa goli mbili sijafurahia jinsi tulivyocheza. Tumepiga pasi za nyuma nyingi sana. Sitashangaa hii first half mabeki wetu wakaongoza kwa touch ball kuliko viungo wetu, Hedo na Wildjinaldum.

''38 mins: Penalty shout for Bournemouth
Bournemouth have a corner, they finally get in behind the Liverpool defence but Loris Karius does well to get the ball behind for a corner.

And then a huge penalty shout for the home side but the referee is unmoved. Nathan Ake knocks the ball past Roberto Firmino and falls to the floor. Looked like a foul form here. The home side can rightly feel aggrieved.''

Mkuu angalia hapo juu nao wanahitaji miwani kama mimi, haya bana ... .... .. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom