Habari njema hiyo, hivi Sturridge aliumia kwenye mechi gani au ndo matatizo yake yamerejea.Clopp anasema Lallana na Firmino wamerejea mazoezini tangu jana, Sturridge bado...
That is the best line up without our magician.Sijakuelewa hapo kwenye nafasi ya Wijnaldum na Origi...MATCH DAY.
Coutinho and Sturridge are out.
Lallana comes in.
think it will be;-
Karius, Clyne, Matip, Lovren, Milner, Henderson, Can, Lallana, Mane, Origi, Firmino.
i'de like to see Wijnaldum kwenye hiyo nafasi ya Origi, but nadhan Origi atakuwa anahitajika sana kuzuia mashambulizi ya Bournemouth kutokea nyuma. Bournemouth will press us today, cha msingi ni midfield yetu kuto-panic.
Tunahitaji hizi 3 points leo, coz tuna 2 easy games at home baada ya leo. Tunahitaji kukusanya points zote muhimu. I want us to be on top of the table at X-mass.
we better win today.
Origi ni number 9, but chini ya Klopp Firmino ndio our number 9, so Origi anacheza pembeni, akimsaidia kwa ukaribu Bobby, kwa mantiki hiyo kwenye line up, origi ataonekana kama Winger/kutokea pembeni, but on the pitch atakuwa ni in & out number 10, wing ya kulia itakuwa ya Mane tu. Link up play itakuwa kati ya Lallana na Origi, ili kuhakikisha Firmino na Mane wanapata mipira. Origi anaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya Coutinho, but he wont play deep. Watakuwa wanabadilishana na Firmino pale mbele at times, (kulingana na pressing ya Bournemouth) but Firmino will remain as our false #9.That is the best line up without our magician.Sijakuelewa hapo kwenye nafasi ya Wijnaldum na Origi...
So ni kama vile hii 4-3-3 yetu ukiichanganua zaidi unakuta ni 4-2-2-2 kama nimekupata vizuri MosDef
A must win game no excuse .... ikiwezekana hata 6 goals, I don't care about clean sheet.
MATCH DAY.
Coutinho and Sturridge are out.
Lallana comes in.
think it will be;-
Karius, Clyne, Matip, Lovren, Milner, Henderson, Can, Lallana, Mane, Origi, Firmino.
i'de like to see Wijnaldum kwenye hiyo nafasi ya Origi, but nadhan Origi atakuwa anahitajika sana kuzuia mashambulizi ya Bournemouth kutokea nyuma. Bournemouth will press us today, cha msingi ni midfield yetu kuto-panic.
Tunahitaji hizi 3 points leo, coz tuna 2 easy games at home baada ya leo. Tunahitaji kukusanya points zote muhimu. I want us to be on top of the table at X-mass.
we better win today.
No Matip today and Lalana on the bench,Lucas get another chance.nna wasiwasi na creativity hapa kati between Can,Gini,and Hendo.
No Matip today and Lalana on the bench,Lucas get another chance.nna wasiwasi na creativity hapa kati between Can,Gini,and Hendo.
Sina amani na hii backline kabisa. Kwa nini Klavan asianze badala ya huyu jamaa (red)?
Nahisi tuta-concede free kicks za kizembe kwenye danger areas kwa vile hawa jamaa wana attacking mids wazuri sana.
Lucas vs Calum Wilson = penalty inaita hapo.
Worried!