Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool 2 - O Leeds United

76' Origi

81'Ben Woodburn

A 17 yrs old, liverpool player and the youngest one ever to score a goal at a stage like this

BTW, Liverpool we're onto the semi finals
 
I like This! Very interesting....

2016-11-30_11.38.48.jpg
 
No doubt hile issue Ya Christian Pulisic hatma Yake ni January...

Baada Ya injury ya P. Coutinho na Percentage Ya Kuondoka Kwa Mane Kueleke Uafrikani itamlazimu JK kutamfuta Mbadala Wa Coutinho ambaye Kwa Mpaka Sasa Si Mwengine Bali ni Christian Pulisic Pekee...
JK amelazimika Kuiarise Tena Kwa Nguvu Zote issue Ya Pulisic ambayo alikwisha ikatia Tamaa kutokana na Kuumia Cout ili Kurudisha Fear kwa Opponents wote Ambao Walikwisha Kuiogopa Trio ya Mane, Firmi na Cout... Kwa Sasa Baada Ya Kuumia Cout Wanaonekana Kujiamini Kukabiliana na The Reds....
Sasa Njia Pekee Ya Kuongeza Moral ya Ushindi Kwa Liverpool Ni Sign ya Pulisic ambayo Kuna Kila dalili ya Kuipata Hapo January....

BTW! Origi anatuonesha some hope! Nibora Aendelee Kupewa nafasi Zaidi huenda Akawa Goal Scorer Bora Zaidi Na Tukapata CF wa reality badala yule False CF (Firmi)....

Ipo Haja Ya Kumtengeneza Wood B kuwa ni Supper Sub yetu kwani Dogo Kwa Kuotea Nyavu ni Balaa... Yani Kama Chicharito vile...

Ejaria na Grujic Wanahitaji Na Wao Wapewe Nafasi ili Wagain hile Experience ya Premier league Kwani Wakati Mgumu Kama Huu Wa Majeruhi Task ya Timu inarudi Kwao...

Trent naye ingawa ni Centre Central Midfielder (Holding/Defensive Midfielder) anayechezeshwa Kama Full Back Right, Azidi Kupewa Nafasi Katika Hiyo New Position Yake Ya FB kwani anakuja Vizuri tu ili aje Amreplce Clyne anaeonekana Kuporomoka uwezo Wake Kwa Kasi...

YNWA...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom