Sooner or later Mentor atakuja hapa kwenye team anayoipenda kichinichini - LFC
Last Week Baada Ya Sisi Kujikwaa Alitangaza Kuwa Eti Wao Wenye Ligi Washakamata Nafasi Yao... 😀😀😀 Kumbe Hajui Kuwa Alikuwa Akipata Mtelezo tu... Kasahau Kuwa Wanaume Liver na Arsenal Walimla... Na Kuna Spurs na Man City bado Wanamgojea....
RUMORS
Liverpool are facing a fight to keep manager Jurgen Klopp at Anfield with German club Bayern Munich set to replace Carlo Ancelotti after a disappointing start to the season.
Manchester City manager Pep Guardiola is looking at Southampton defender Virgil van Dijk, 25, as a replacement for Vincent Kompany. (Daily Star Sunday)
Paris St-Germain will bid £40m for Liverpool midfielder Adam Lallana and are prepared to offer the 28-year-old a £200,000-a-week contract. (Sun on Sunday)
Hata mimi nimeshanga kuhusikia huo uvumi ni ngumu sana, hata reason isingekua hiyo sidhani kama angeenda kirahisi huko.This is a mere hogwash
Klopp anawezaenda timu yoyote lakini sio Bayern
Ni sawa na Ferguson enzi zake ajiunge na LFC
Kiti ambacho hakiwezekani
RUMORS
Liverpool are facing a fight to keep manager Jurgen Klopp at Anfield with German club Bayern Munich set to replace Carlo Ancelotti after a disappointing start to the season.
Manchester City manager Pep Guardiola is looking at Southampton defender Virgil van Dijk, 25, as a replacement for Vincent Kompany. (Daily Star Sunday)
Paris St-Germain will bid £40m for Liverpool midfielder Adam Lallana and are prepared to offer the 28-year-old a £200,000-a-week contract. (Sun on Sunday)
4-5 weeks out![]()
![]()
![]()
![]()
PAGAN asante sana kwa kushea video na sisi.The best video ever made about Miracle of Istanbul. 11 years ago... The greatest night in football history.
Must watch....