Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

8) Barca on SG.jpg
 
Dk ya 34. Coutinho anatolewa nje kwa machela. Inaonekana ameumia sana. Tunaongeza majetuhi kwenye clinic yetu. Ameingia Origi
 
Hakuna sababu za nani kaumia kuombea wapone ila kila mchezaji anajukumu waliobakia ndio waonyeshe sasa uwanjani, LFC tunapenda kupoteza Half ya kwanza buuuure kabisa why? kipindi cha pili tutakuja kujuta hasa dk zikienda 75 bila mafanikio.... Can ndio alitakiwa kuwa na Hendo na sio Gini huyu Gini ndio apande juu. Game itaisha draw au watatuotea kona.
 
45 za kwanza zimekwisha. Nimekuwa disappointed sana na the way game tulivyoicheza. Ile game spirit tuliyokuwa nayo kabla ya sare na soton sijaiona.

Tumeshindwa kutengeneza nafasi za maana za kufunga. Clyne yupo chini ya kiwango. Hii timu dhaifu (Sunderland) inatutoa jasho kwa kiasi hiki?

Tunahitaji kubadilika second half. Tunatakiwa hii game tupate ushindi ili tuweze kwenda sawa na kasi ya city na chelsea.
 
Lallana injury, Coutinho injury, Mane January Anaondoka Kuja Africa.. Only Firmino will be available... Sipati Picha Nini Kitatokea! I disagree with those wanaosema we are the True Title Contender..
 
Players nafasi nzuri wanakuwa wachoyo wanataka kufunga sio sehemu ya kufunga....
 
Tusubiri Ripoti Ya Daktari! Lakini Hili Tatizo la Ankle Kwa Coutinho Huenda ikawa Serious Case..

Screenshot_2016-11-26-19-19-16.png
 
Handerson muda mwengine anauzi ananafasi wazi za kuchezesha anafanya utumbo, Origi sijaona toka aingie bora atolewe aingie woodburn!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom