Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hahahahahahahaha something special my man!dah sasa tuendeleeeee Origiiiii sorry kwakukutaka utolewe ila endelea.
mpaka wafe kwa maumivu wote sio wawili au watatu hehehe ila hii sio timu ya ubingwa labda Top 4 nauhakika nao jamaa leo Moyes kaja kuweka Bus kama Ex team yake.Huu moto wenu utaisha lini?
mpaka wafe kwa maumivu wote sio wawili au watatu hehehe ila hii sio timu ya ubingwa labda Top 4 nauhakika nao jamaa leo Moyes kaja kuweka Bus kama Ex team yake.
Nilidhani watakaza buti wapate draw...
King Ngwaba niliipenda sana Tribute ya Luis Suarez, na ile ya Sturrudge, naona haujazitupia hapa mkuu.
Yaani leo tungetoa draw ilikuwa ndio basi tena
Utakuwa unajisikia aibu sanaHanderson muda mwengine anauzi ananafasi wazi za kuchezesha anafanya utumbo, Origi sijaona toka aingie bora atolewe aingie woodburn!
Bournemouth wahapaki basi - winWakuu Sio Siri Ratiba Yetu Ya December Haisomeki Hata Kidogo!! Tunamichezo 6 ndani Ya Wiki 4 (Mwezi Mmoja).... Kwakweli Tutakuwa Katika Kipindi Kigumu Sana...
View attachment 439947