Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1. Steven Gerrard
2. Frank Lampard
3. Patrick Vieira

Tributes from Barcelona, Real madrid, Bayern Munich, Ac Milan etc

....and you wanna tell me about Scholes??? Hahahahaha

Once again DUNIA NZIMA YA MPIRA INASIMAMA, baada ya STEVEN GERRARD kutangaza kustahafu. Haya mambo huwez kuyaona kwa kina Scholes.


VINTAGE STEVEN GERRARD.

Later, i'll be sharing with you guys, his 20 best goals katika uzi mwekundu wa LFC.

Mbona uko obsessed na Man u na Scholes??
Gerald ni mchezaji mkubwa lakini kulia lia na kumpandishia scholesy kunakumshia heshima.

Leo ni siku yake usitake kuinajisi.
Thank you for listening
 
Steven Gerrard has retired from playing professional football.

What a player.
What a man.
Role model.

Thanks for all the special memories. Your forever in our hearts. Your magical moments will live forever mate!

True Legend. Captain Fantastic. Salute!
The best there is, the best there was and the best there ever will be
 
STEVEN GERRARD amestahafu kabisa kucheza mpira and he's coming back to LFC kama Academy Coach. He's my favorite player to ever play football. to me, he's Liverpool, the true King of Liverpool.

Amefunga magoal mengi sana akiwa na LFC, but kwangu mimi kuna magoal ambayo huwa naayaangalia kila siku nikipata muda, ni my favorite SG's goals.

1.Goal dhidi ya West Ham- 2005 FA cup Final.
2.Goal dhidi ya Sheffield Wednesday- 1999 (his FIRST liverpool goal)
3.Goal dhidi ya Everton-2001 (his celebration was priceless)
4. Goal dhidi ya Ac Milan- 2005 UCL final
5. Goal dhidi ya Middleborough- 2006 (probs, his best goal ever)
6. Goal dhidi ya Man Utd- 2001
7. Goal dhidi ya Olympiacos- 2005
8. Goal dhidi ya Man city- 2012/13
9.Goal dhidi ya Madrid- 2008
10.Goal dhidi ya Aston Villa- 2006
11. Goal dhidi ya Marseille- 2008
12. Goal dhidi ya Southampton-2001
13. Goal dhidi ya West Ham (the equalizer)-2006
14.Goal dhidi ya Man utd- 2010
16.Goal dhidi ya Arsenal-2007
17.Goal dhidi ya Inter Milan- 2008
18. Goal vs Man utd- 2012/13
19. Goal vs Portsmouth-2004
20. Goal dhidi ya West Ham- 2010
 
Gerrard anarudi LFC, kama Kocha.

He'll always be a Liverpool Legend.

Most legendary players, huwa wanapewa heshima ya sanamu, but Steven Gerrard ana sehem yake pale Anfield, kuna collection ya kila kitu kuhusu SG, huwez kufanya tour Anfield bila kupitia kwenye ile room, special kwaajili ya SG.
 
Vaa jezi ya United afu nenda Tour pale Trafford, na ukisema umetokea Africa/Asia or other parts of europe, lazma utapelekwa kwenye ile Tomb ambayo ipo Trafford, yule Tour-guide atakwambia "This is for Scousers mate, bunch of d*ckheads" yaan mancs wana tomb ya kufungia liverpool fans wakifanya fujo Trafford. I know Authorities zinajua kinachoendelea but again it utd, media darlings.
 
2) Zanetti on SG.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom