MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
You gotta love Liverpool fans, kila ambapo Coutinho akienda international break na kucheza vizuri, wanaanza wenyewe na kumlink na move za Barcelona/Madrid.
Well, Madrid wapo kwenye transfer ban mpaka 2018 na hata kama wasingekuwa kwenye ban, they dont need Coutinho at all. Isco/James both struggling to get game time there, why wamuhitaji Coutinho?
Coutinho will never go to PSG.
Barcelona wont be able to sign Coutinho now, siyo kwa next summer au mwaka utakaofatia, they've just signed Dennis Suarez (waiting for him to explode), kwasasa wameanza kumuimarisha Rafinha (been getting a lot of game time lately)..Barca wont be able to afford hela ya kumtoa Coutinho Liverpool baada ya huu msimu (na FSG wakifanikiwa kumshawishi asign mkataba mpya ndo itakuwa ngumu zaidi). Wametoka kuwapa mikataba mipya Neymar na Suarez, na sahiv wanajiandaa na maongezi ya mkataba mpya na Messi. If Barca wanted to replace Iniesta kwa kumtumia Coutinho, basi wangemsajili Coutinho badala ya Andre Gomes (he's adjusting slowly).
Lastly, Coutinho is not a Money oriented player, kama Barcelona wakija, ataondoka tu, hata umpe £500k per week, ni ndoto ya kila m-South America kuchezea Barcelona, Suarez accepted a pay cut kujoin Barcelona (he was on £200k wakat anakaribia kujiunga na Barcelona akitokea Liverpool). So huwezi kumzuia Coutinho kuondoka LFC, and Bora Coutinho, Firmino ndo kabisa kwasababu ni Barcelona fan.