Niliangalia hii mechi, ila injury ya Lalana sikuielewa kabisa! Na alitoka akiwa anatembea vizuri tu.Naangalia live score kati ya England na spain naona lalana alitolewa dk27 vipi aliumia au?
Kocha huyu wa Uingereza mbona anawachezesha akina Hendo na Clyne dakika 90 friend game?Isha ona hii mara mbili sasa!Huu ni upuuzi aiseeKama Lallana kaumia, Gini comes in for him.
Kocha huyu wa Uingereza mbona anawachezesha akina Hendo na Clyne dakika 90 friend game?Isha ona hii mara mbili sasa!Huu ni upuuzi aisee
Klopp amkoromee aache!Friend game dakika 45 tu zinatosha
Jamani wana KOPS wenzangu
Kuna majeruhi yyt reported so far?
Coutihno na Firmo wamemaliza salama mechi zao
Mane alimaliza salama pia
Origi na Migs pia walimaliza salama
Klav alimaliza salama ingawaje alikula 8 na Belgium
Vipi Lallana na Hendo?Vipi kuhusu Dan?
Ovie Ejaria, Huyu dogo naona atakuja kuwa hatari sana labda alete ukanjanja wa kutaka kwenda timu nyingine ila kwa ujumla yupo vizuri.
Yaah hopefully atatengemaa tuuh.Mzuri sana anaitaji stamina tu
Analibda ajira yake... He needs winnersKocha huyu wa Uingereza mbona anawachezesha akina Hendo na Clyne dakika 90 friend game?Isha ona hii mara mbili sasa!Huu ni upuuzi aisee
Klopp amkoromee aache!Friend game dakika 45 tu zinatosha
Huyo jamaa kafanana na wenger mnooooShabiki wa livapuli akiusubiri ubingwa
View attachment 435807