Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hector beki mzuri sana
Akija Liverpool huyu tutakuwa 100% sawa pembeni
JK msamehe Sakho pls
Akicheza Sakho na Matip tutakuwa sawa sana katikati

Acheze Sakho? Mkuu Kwa Mpira Wa Kasi Tunaocheza Sasahivi Unadhani Jitu lile Zito Linafaa Wapi?

Hebu ikumbuke Gemu Yetu na Dortmund Ya Europer Tulyowafunga 4 - 3 Sakho alivyopelekwa Mbio na Aubemyang na Mkhitaryan alivotufungisha Magoli Ya Kizembe...
Mkuu Sakho Ni Wakuondoka tu Lakini Kwa Liverpool Beki Zito Kama Lile Lisiloweza Hata Kukimbia na Kukaba Halitufai..
I agree with u mkuu King Ngwaba. Sakho anabahati tu ya kuvaa uzi wa liverpool. Sijawahi kumkubali. Kwanza hajiamini, ana aina flani ya uoga wa kukaa na mpira. Ni mzito, labda kinachombeba ni physics tu. Hana tofauti na zouma wa chelsea. % kubwa ya mipira yake ni ya kubutua, still anavaa uzi wa chelsea.

Aende tu, na kwa pale epl awezi kupata timu. Sanasana arudi ligue 1.
 
Anafaa kuchezeshwa mechi za makombe Ya mbuzi tu kama vile FA, League Cup, Charity shield,
 
Sakho ana mapungufu yake na ana strength zake pia.Anayo spirit ya kupigana uwanjani.Sio kila mchezaji anacho kitu hiko.Tunapozungumzia mapungufu yake tumtendee haki pia kuzungumzia kiasi ambacho alisaidia timu msimu wa Europa iliyopita.

Pia ukimuondoa Matip sijui ni beki gani wa kati pale tunaweza sema yupo tofauti sana na Sakho.Basi tu imetokea matatizo ya kinidhamu ambayo Klopp hakuyapenda.Bado naona Sakho anaweza cheza na Matip na quality ya backline ikawa the same.

Nadhani Klopp angefanya wepesi amchezeshe hata league cup.Bado Sakho ni potential.To regard him as useless to me is unfair.Sadly and total injustice when such pure negative comments comes from a fellow kop.
 
RUMOURS: Klopp wants Arda at Liverpool

Jurgen Klopp wants Liverpool to sign Barcelona midfielder Arda Turan in the January transfer window and has begun work on extending Philippe Coutinho's contract.
 
RUMOURS: Liverpool reignite Dahoud interest

Liverpool are ready to make a new bid for summer target Mahmoud Dahoud. Jurgen Klopp is an admirer of the midfielder and the Reds are considering making a £26 million offer.

Source: The Sun
 
RUMOURS: Klopp wants Arda at Liverpool
"
Jurgen Klopp wants Liverpool to sign Barcelona midfielder Arda Turan in the January transfer window and has begun work on extending Philippe Coutinho's contract.
Mkuu we unaonaje Arda atatufaa kweli? Binafsi naona kiwango chake kama kimeshuka tofauti na alivokuwa Atletico Madrid na hivi JK alivoonesha kumtaka Arda je Barcelona si wanaweza wakatumia fursa hiyo ya kumpata Coutinho lets say waseme tufanye nao exchange deal na mmoja kati yetu amuongezee hela mwenzie ingawa I believe wao ndio itabidi watuongezee sisi coz value aliyonayo sahiv Coutinho sizan kama inafanana au ipo chini ya Arda siombei hivyo najaribu tuuh kupata picha coz jamaa kama tujuavyo wana mtolea denda dogo muda mrefu.
 
Holding midfielder kwa Turan anaweza kutufaa. Jamaa ni very physical, anajua kukaba. Ile style aliokuwa akicheza pale Atletico Madrid, kwa Barcelona hajaicheza kabisa. Hata position anayopangwa siyo aliyozoea. Hapa tatizo mimi nadhani ni umri.

Liverpool kwa sasa hatutakiwi kuuza wachezaji wetu mahiri, tunatakiwa kuuza wale ambao hawapo kwenye mipango yetu. Kumbuka kwa sasa tunahitaji kujenga kikosi imara kwa ajili ya kushindana ulaya na magiant kina Barcelona, real Madrid, juventus, na Bayern Munich.
 
Klop hana mpango na wachezaji wenye majina tayari(a.k.a superstars) anachotaka ni kutengeneza superstars wake,Arda kuja Anfield ni ndoto.

wachezaji kama Dahoud,Tah,Azmoun n.k hawa ndio aina yawachezaji ambao anawataka.
 
RUMOURS: Klopp wants Arda at Liverpool

Jurgen Klopp wants Liverpool to sign Barcelona midfielder Arda Turan in the January transfer window and has begun work on extending Philippe Coutinho's contract.

Hakuna transfer window ambayo Liverpool haijawahi kuwa Linked na Arda Turan.

Angekuwa ni good option, but cant see Klopp going in for him
 
Arda Turan nafikiri ana almost 30 years, sidhani kama ni option nzuri kwetu!
 
Klopp anapenda kusign young, hungry and telented footballers, ndo maana summer iliyopita his main/first target ilikuwa ni Ousmane Dembele, then tukajaribu kwa Mbappe, Monaco wakachomoa, nasikia Pep na Man city wali-bid £40m for Mbappe wakachomolewa.

Kwa january au summer inayokuja, i wont be suprised kama Klopp akisign mojawapo ya hawa players, Pulisic/Berardi/Pereira/Brandt/Promes/Pavón/Bernardeschi/Dolberg/Belloti/Azmoun

Pia we're scouting Barcelona B players, Marlon/Kaptoum

Inasemekana Klopp likes Paredes a lot but his main target kwenye midfield kwasasa ni Dahoud. Its January or never, i mean kama Klopp anamuhitaji Dahoud anatakiwa afanye kila kitu anachoweza kumpata hii january, akisema asubiri mpaka summer atamkosa, should take advantage na conflict iliyopo kati ya Dahoud na BMG, nahisi anachokwepa Dahoud na Agent wake ni "release clause" so i think we should do it this January, Dahoud will put in a transfer request kama tukamshawishi vya kutosha.

Left-Back sidhani kama ni priority kwa Klopp hii January, but summer nadhani options zitakuwepo kibao, Kolasinac/Amavi/Grimaldo/Wendell etc Robertson had a great season kwenye championship, but he's struggling a lot kwenye PL, to be honest Hull City are shit, sidhan kama atashine pale. They'll be relegated again. Still keeping tabs kwa Taylor wa Leeds, and It seems Klopp bado anamfikiria Ben Chilwell.

Centre-Back pia itakuwa summer, for now ni Matip/Lovrem/Klavan/Lucas. Can see Klopp pushing for Tah/Sùle/Van Djik, kwa Tah na Sùle nahis kutakuwa na Competition kidogo hasa kwa Clubs za Ujerumani kule kule. But i think £35m will get us Van Djik. Jonathan Tah atakuwa expensive zaidi ya Van Djik hii summer. Djik is a good option, wouldnt mind Sùle pia.
 
Van Djik nimeona sehemu mourinho anamtaka nadhani kwenye summer competition itakuwa kubwa kumpata
 
United nasikia wanamtaka Michael Keane, january hii lazma wanunue CB wale. Kama wakimchukua Michael Keane sidhan kama kutakuwa na ulazima wa Van Djik kwenda united. Maybe spurs na chelsea ndo wanaweza wakamuhitaji.
 
Mkuu we unaonaje Arda atatufaa kweli? Binafsi naona kiwango chake kama kimeshuka tofauti na alivokuwa Atletico Madrid na hivi JK alivoonesha kumtaka Arda je Barcelona si wanaweza wakatumia fursa hiyo ya kumpata Coutinho lets say waseme tufanye nao exchange deal na mmoja kati yetu amuongezee hela mwenzie ingawa I believe wao ndio itabidi watuongezee sisi coz value aliyonayo sahiv Coutinho sizan kama inafanana au ipo chini ya Arda siombei hivyo najaribu tuuh kupata picha coz jamaa kama tujuavyo wana mtolea denda dogo muda mrefu.

Mkuu Usisikilize Rumours Za Mitandaoni, Mpaka Sasa Barcelona Hawajafanya Aproach Yoyote dhidi Ya Coutinho Wala Hawajalifikiria Hilo La Kumsajili Coutinho...
Wao Wenyewe Barca Kwasasahivi Wamekumbwa Na Ukata Wa Fedha Baada Ya Kuwasainisha Kina Neymar Mikataba Minono...
Sasahivi Wanahaha Kutokana Na Kushindwa Kumpa Mkataba Mpya Messi Kwa Kutokuwa Na Pesa Za Kutosha za Kumsainisha Mkata Wa £39M kwa Mwaka Baada Ya Kuwatilisha Mikataba Mikubwa Kama Hiyo Baadhi Ya Wachezaji na Hivyo Kufanya Bajeti Ya Timu Yote iende Kwenye Mishahara...

Sasa Barca Wanachokifikiria Ni Jinsi gani Watakuza Mapato Yao na si Kumnunua Coutinho ambaye Klopp Anaweza Kumuuza Kwa £80 to 75M, na hatamuuza Chini ya £70M...

Bali Klopp January Ni lazima Atasaini Kuzijaza Sehemu Tatu Za Timu ambazo ni:-

1) Winga/Striker Kucover Nafasi Ya Sadio Mane Atakapoenda Afcon..

2) Centre Central Midfielder/Defensive Midfielder (High percentage to be Mahmoud Dahoud).

3) Half Back Four: Ambaye Kwa Aslimia Kubwa Ni Jonathan Tah (Hii ni Kutokana na Criticisms inazozipata Defence Line Yetu Hasa Wale Central Defenders Ya Kuconcede Magoli Mengi Jambo Ambalo Linaonesha Kuwa Safu Ya Ulinzi Haijawa Strong! Kwahiyo Klopp Anaendelea Kutafuta Mtu Wa Kusimama Na Matip..)
 
Mkuu Usisikilize Tumours Za Mitandaoni, Mpaka Sasa Barcelona Hawajafanya Aproach Yoyote dhidi Ya Coutinho Wala Hawajalifikiria Hilo La Kumsajili Coutinho...
Wao Wenyewe Barca Kwasasahivi Wamekumbwa Na Ukata Wa Fedha Baada Ya Kuwasainisha Kina Neymar Mikataba Minono...
Sasahivi Wanahaha Kutokana Na Kushindwa Kumpa Mkataba Mpya Messi Kwa Kutokuwa Na Pesa Za Kutosha za Kumsainisha Mkata Wa £39M kwa Mwaka Baada Ya Kuwatilisha Mikataba Mikubwa Kama Hiyo Baadhi Ya Wachezaji na Hivyo Kufanya Bajeti Ya Timu Yote iende Kwenye Mishahara...

Sasa Barca Wanachokifikiria Ni Jinsi gani Watakuza Mapato Yao na si Kumnunua Coutinho ambaye Klopp Anaweza Kumuuza Kwa £80 to 75M, na hatamuuza Chini ya £70M...

Bali Klopp January Ni lazima Atasaini Kuzijaza Sehemu Tatu Za Timu ambazo ni:-

1) Winga/Striker Kucover Nafasi Ya Sadio Mane Atakapoenda Afcon..

2) Centre Central Midfielder/Defensive Midfielder (High percentage to be Mahmoud Dahoud).

3) Half Back Four: Ambaye Kwa Aslimia Kubwa Ni Jonathan Tah (Hii ni Kutokana na Criticisms inazozipata Defence Line Yetu Hasa Wale Central Defenders Ya Kuconcede Magoli Mengi Jambo Ambalo Linaonesha Kuwa Safu Ya Ulinzi Haijawa Strong! Kwahiyo Klopp Anaendelea Kutafuta Mtu Wa Kusimama Na Matip..)
Ila transfer nyingi huwa zinaanza kama rumors kwa asilimia fulani lakini kama ulivyosema kama jamaa wapo kwenye ukata hapo ndio tunatumia kale ka kamsemo ka Adui yako muombe njaa, Tukija upande wa pili Madrid nao ndo wapo kwenye Ban ya usajili na kama tulivosema kuwa dogo hawezi kwenda Ligue1 kwa PSG naona mambo yanazidi kuwa mazuri, Hivi Matip nae ataenda Afcon kumbe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom