Duh! Cristiano kucheza namba 10!? Hii ndiyo nimeisikia leo...Real Atacheza Winga Ya Kushoto Ya Kuvunja Kutokea Kati Kama Anavyochezeshwa Liverpool.. Bale Atacheza Right Wing... Banzema & Ronaldo Watasimama Kama Mafowards 9 & 10 respectively...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] our 150kKama na yeye sturridge atakua hajaumia bado hahaha...
Kuna article moja niliisoma somewhere ingawa sikuithibitisha ilidai hata U23 pia alipigwa stop asicheze kabisa ... nasikia hata kwenye social media siku hizi pia hatoi updateLeo kacheza vyema sana
Nadhani discipline ya Klopp kama hamna mwenye immune ya namba imemuingia
So lzm apiganie namba
Sakho hata LVFC TV huwa simuoni na wenzake akifanya nao mazoezi
Kuna yyt anajua habari za Sakho?
Anafanya mazoezi na under 23 au?
Kwahiyo Kwakuwa Man City Kila rekodi Yupo Kevin De Bruyne, Akiondoka Yeye Timu itakufa au??
Nipo chifu..naona mnakenua tu sasa...
Anacheza na under 23.Juzi amecheza walipo draw na mancity.Kuna article moja niliisoma somewhere ingawa sikuithibitisha ilidai hata U23 pia alipigwa stop asicheze kabisa ... nasikia hata kwenye social media siku hizi pia hatoi update
Anacheza na under 23.Juzi amecheza waliposhinda.
Ulivyojibu kwa hasira sasa kama tupo jukwaa la siasa...
Eniwei...fact is De Bruyne kwa sasa ndiyo engine ya Man City.
About Henderson, siwezi kuongea sana coz sijafuatilia though ni mchango mkubwa. What I am waiting to see ni January...Mane akiondoka!!!!
Sorry Kwa Majibu ya Hovyo..
Mentor bana, nimekutetea hapo juu halaf unaleta pumba tena?[emoji3] [emoji3] [emoji3]No worries bro.
Really appreciate this!!!
Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!
No worries bro.
Really appreciate this!!!
Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!
Hii pumbu ulio mwaga humu katafute wakumlisha maana hamna kuku humu[emoji23]No worries bro.
Really appreciate this!!!
Huu mchezo hauhitaji hasira...ila baada ya kusema hivyo najua majogoo yanamuogopa simba wa blue mechi ya marudiano!!!
Wakuu, kama kuna mwenye ratiba yote ya mechi za Liverpool katika EPL aniwekee humu aisee!
Uliwahi mara. 1 Mpendwa wangu karibu sana usiishie barca tuHivi mimi kweli nimewahi kuja huku!!!