Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee Wijnaldum apewe heshima umeona jinsi alivyoingia tu kati pakawa hai tena!!

Mkuu Ni Kweli Gini anahitaji Heshima Lakini Ni ukweli Usiofichika Kuwa Anapocheza Can Timu inakuwa Na Kasi Zaidi Kwasababu Can ana Pace Kubwa Zaidi Kuliko Gini.. Na Can alivyopania Kubeba Trust Ya Klopp kaamua Kumpiga Mpira Balaa Sana! Nadhani Leo umemuona!!

Leo Sababu Ya Timu Yetu Kuhangaishwa Sana Pale Kati Kabla Ya Kuingia Gini ilikuwa ni Tatizo la Lallana na Hendo Kwani Walifichwa Sana Mpaka wakawa Hawaonekani! bali Can Pekeyake ndiyo akawa anasumbua Pale Kati! Sasa baada Ya Kuwapiga Goli la 4 ndiyo palace morali yao ikafa ndiyomaana Alipoingia Gini akaziba yale Mapungufu ya Lallana...

Sasa niliwahi Kusema Kuwa Gini Ataekwa Benchi Na Can Kwasababu Can Anakwendana na hile Kasi Ya Mchezo Katika Kukimbiza Mipira... Nadhani ni wakati wa Gini Kukaza Buti la sivyo Can Hatanii...
Gini itampasa Kusubiri sana mbele ya Can..
 
Lovren Nahisi Azidishe Mazoezi Amekuwa Akifanya Makosa Mengi Ya Kiholela Ndiyomaana Katika Gemu Nyingi Tunashindwa Kupata Clean sheet Kwa Makosa Ya Kizembe... Mimi Nahisi Hata Klavan-Matip ipewe Nafasi inaweza Kuondoka Na Clean Sheet...
 
Mkuu Ni Kweli Gini anahitaji Heshima Lakini Ni ukweli Usiofichika Kuwa Anapocheza Can Timu inakuwa Na Kasi Zaidi Kwasababu Can ana Pace Kubwa Zaidi Kuliko Gini.. Na Can alivyopania Kubeba Trust Ya Klopp kaamua Kumpiga Mpira Balaa Sana! Nadhani Leo umemuona!!

Leo Sababu Ya Timu Yetu Kuhangaishwa Sana Pale Kati Kabla Ya Kuingia Gini ilikuwa ni Tatizo la Lallana na Hendo Kwani Walifichwa Sana Mpaka wakawa Hawaonekani! bali Can Pekeyake ndiyo akawa anasumbua Pale Kati! Sasa baada Ya Kuwapiga Goli la 4 ndiyo palace morali yao ikafa ndiyomaana Alipoingia Gini akaziba yale Mapungufu ya Lallana...

Sasa niliwahi Kusema Kuwa Gini Ataekwa Benchi Na Can Kwasababu Can Anakwendana na hile Kasi Ya Mchezo Katika Kukimbiza Mipira... Nadhani ni wakati wa Gini Kukaza Buti la sivyo Can Hatanii...
Gini itampasa Kusubiri sana mbele ya Can..
Pamoja na form ya Henderson kuwa nzuri since start of the season nadhani its time Emre Can arudi original position yake ya defensive midfield herdo na lallana wacheze penmbeni na lallana na wijnaldum wa rotate depending on the kind of game the against team we are playing
 
Commit suicide by hanging your self, not just a suicide.
But we need to work on accuracy View attachment 426280View attachment 426280
That's word Comrade! Today's accuracy was not satisfactory.

But when you're having three precious points at the hand, you go blind of minor mistakes.

To the haters, I recommend them to hang themselves by using spiderwebs.😀😀😀😀😀
 
Pamoja na form ya Henderson kuwa nzuri since start of the season nadhani its time Emre Can arudi original position yake ya defensive midfield herdo na lallana wacheze penmbeni na lallana na wijnaldum wa rotate depending on the kind of game the against team we are playing

Mkuu Kwasasa Hakuna Haja Ya Kubadilisha Formation Yetu Kwani Kocha Kulingana Na Wachezaji Kahisi Ni Mfumo Huu Ndiyo Walioadapt Vizuri!
Kwahiyo Hawezi Kumrudisha Tena Can Katika Position Yake Ya Holding Midfield Labda itokee dharura tu ya Kuumia Hendo...
 
Lallana Na Hendo hawakua on good performance as we used to see them",..

I think padew saw it,. that's y 2nd half aliamua kupasua katikati zaidi.
 
Ila sub ya Lallana niliiona aingie Gini",..
niliamaki pale nilipomuona sturridge na Lucas,. waki warm up day",.. nilianza personal conflict
 
LFC kuhusu Can ni kweli lazima awe 1st Eleven ila awe defensive mid then Hendo awe na Lallana lasivyo utaona Hendo anahangaika hakuna anachofanya na inasababisha Lallana awe defensive naye, Winjnaldun akicheza huwa na Hendo wanabadilishana kupanda na kushuka, Gini anampa Hendo kuchezesha kwa kujiamini zaidi then Lallana anazunguka Nyuma yawale watu Coutinho+Firminho+Mane = waumiza Nyongo za Mabeki. Mane akienda Africa CAF basi Sturidge anarudi mbele tuombe Asisst za Coutinho kama ule msimu. LFC YNWA!
 
Mkuu Kwasasa Hakuna Haja Ya Kubadilisha Formation Yetu Kwani Kocha Kulingana Na Wachezaji Kahisi Ni Mfumo Huu Ndiyo Walioadapt Vizuri!
Kwahiyo Hawezi Kumrudisha Tena Can Katika Position Yake Ya Holding Midfield Labda itokee dharura tu ya Kuumia Hendo...
Henderson is better going forward to defensively, naamini alijaribiwa hapo cause Can alianza msimu majeruhi and yes ameimudu nafasi vizuri sana but I believe kama Can Ataendelea kuwa fit all season na kupewa game time mpaka second half of the season in January atarudi tu hapo DM its a win-win for both players
 
Muna Mitazamo Mizuri ambayo inamaanisha Kuwa nyinyi Ni Wanakopites Wa Uhakika!!
Lakini Hawa Gini, Can, Hendo na Lallana Hawawezi Kucheza Wote Kwa Wakati Mmoja! Ni Lazima Mmoja Abakie Juu...

Combi yao ni Hii:- ↓↓

1) Hendo-Gini-lallana

2) Hendo-Can-Lallana

3) Can-Hendo-lallana

Sasa iwapo Can atacheza Holding Midfield! itampasa Hendo acheze 8... Kwahiyo Gini atabakia Benchi.

Au iwapo Hendo atabakia hilehile Holding Midfield! Basi Can au Gini mmoja wapo ataanza! Na kwasasa anayeonesha ubora zaidi kwa Mashambulizi Tokea Mechi Ya Man U basi ni Can... Kwahiyo Gini itampasa Abakie juu...

Lallana Yeye Hataathiriwa Na Mabadiliko ya Midfields Coz Hawa Hendo, Gini & Can ni Midfields Wakabaji na Wachezeshaji.. Lakini Lallana Yeye Ni Midfield Mshambuliaji (Wing or Foward no 10)! Kwahiyo Hatahusika Na Challenge Za Kina Gini, Hendo & Can.

LFC kuhusu Can ni kweli lazima awe 1st Eleven ila awe defensive mid then Hendo awe na Lallana lasivyo utaona Hendo anahangaika hakuna anachofanya na inasababisha Lallana awe defensive naye, Winjnaldun akicheza huwa na Hendo wanabadilishana kupanda na kushuka, Gini anampa Hendo kuchezesha kwa kujiamini zaidi then Lallana anazunguka Nyuma yawale watu Coutinho+Firminho+Mane = waumiza Nyongo za Mabeki. Mane akienda Africa CAF basi Sturidge anarudi mbele tuombe Asisst za Coutinho kama ule msimu. LFC YNWA!
 
Mkuu Tatizo Lipo Kwa Captain (Hendo) leo Kapotea Mchezoni Hayumo Kabisa Ndiyo Maana Cabaye Akawa anafanya Anavyotaka.

Mkuu hivi mnaposema Hendo hakuwa mchezoni mnamaanisha nini!!??,siamini kama tulikuwa tunaangalia mechi moja na wewe.anyway,ukweli ni kwamba Hendo was the best midfielder on the pitch,amepiga pass nyingi kuliko mchezaji yoyote pale uwanjani na amefanya takles nyingi kuliko mchezaji yoyote wa LFC msimu huu,alafu bado mnasema kacheza hovyo!!

8aa710037fa6987975dffc1da0044002.jpg
 
Karius looks poor so far - Yes, he`s young and needs time blah blah blah.... but his errors are going to cost us sooner or later bora ya Mignolet a play yye
 
Karius looks poor so far - Yes, he`s young and needs time blah blah blah.... but his errors are going to cost us sooner or later bora ya Mignolet a play yye

Mkuu Kwani Karius Jana Kafanya Kosa lagi la Kuigharimu Timu???

Mignolet Ndiye Aliyetucost Siku ya Arsenal au umeshasahau??

Jana Goli la Kwanza ni Mistake ya Lovren!!

Na Goli La pili ni Mistake ya Moreno na Lovren..
→ Moreno alishindwa Kumkaba Zaha Asiingize ktosi..
→ Lovren Alishindwa Kumkaba McArthur Asiucheze Mpira wa Kichwa..

So, it is not fair to blame Karius while he had nothing to do with those goals...

Karius Still ni New Comer Katika Hii League na Anaonesha uwezo mzuri tu kwani Anaendelea Kuimproove game after game...

Mignolet ni Kipa Mzuri sana! Lakini anapokuwa Golini Hawi Makini That is why anafanya Makosa mengi ya kizembe na Kutugharimu..

Kwahiyi Siokweli Kama Karius ni Poor!!! Karius ni Brave GK ambaye anaelekea Kuwa Tishio Barani Ulaya Coz ana Kila Sifa Ya Ukipa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom