Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee "Boyhood" liverpool fans wapo weengi sana. But nitawataja wale ambao ni rahisi kufahamika na watu. Wapo wengi sana.

1.Robert Lewandowski
2.Sergio "Kun" Aguero
3.Ole Gunnar Solskjaer
4.Leighton Baines
5.Leon Osman
6.John O' Shea
7.Rio Ferdnand
8.Arda Turan
9.Daniele De Rosi
10.Aaron Cresswell
11.Andre Ayew
12.Geoffrey Kondogbia
13.Antoine Griezmann
14.Will Hughes
15.Ashley Williams
16.Scott Dann
17.Glenn Whelan
18.Joey Barton
19.Martin ødegaard
20.Delle Ali
21.Kevin De Bruyne
22.William Carvalho
23.Morgan Scheneiderln
24.Matthew Etherington
25.Ross Barkely
26.Steven Fletcher
28.Charlie Austin
29.Adam Hammill
30.Tommy Elphick
31.Theo Walcott
32.Kevin Nolan
33.Steven Beck
34.Robbie Keane
35.Viktor Anichebe (lol)
36.Connor Wickham
37.Stephan Warnock
38.Adebayo Akinfenwa (loool)
39.Peter Reid
40.Dave Watson
41.Jose Baxter
42.Mike Newell
43.Phill Jevons
44.Patrick Roberts
45.Thierry Henry (doubt it though, to be honest, he likes us and SG's best buddy) zaidi ya hapo sidhan kama ni boyhood fan.

Wapo wengi sana, but i guess hao wanatosha, nimejaribu kuchagua wale ambao ni relevant kidogo.

Well, kama ilivyo kwa kina Mike Newell na kina Osman ambao wameichezea Blue noses huku wakiwa ni supporters wa LFC, ni hivyo hivyo kwa kina Robbie Fowler, Michael Owen, Steve McManaman, Phil Thompson etc they all grew up supporting blue noses, but wameichezea LFC..sahiv tunae Adam Lallana ambaye ni boyhood everton fan. Kuna claims kuwa SG alikuwa ni Everton Fan, kwasababu ya ile picha ambayo kavaa jezi ya Everton wakat akiwa mtoto..ile jezi alivalishwa na uncle wake (ambaye ni blue noses supporter) ili kumzingua tu baba ake SG ambaye alikuwa ni LFC fan.

Naikumbuka ile story ya Mzee Wayne Sr (Baba ake Wayne Rooney) ambao family nzima ni Evertonians Through and through, kuna kipindi wakat Rooney alivyokuwa Dogo, alipata nafasi ya kufanya trials na Liverpool fc, baba ake mzee Wayne Sr akampeleka kwenye mazoezi huku kamvalisha jezi za Everton, hahaha..though few months later he signed for Everton. Mzee Wayne ni die hard Blue nose.

Hii list inatisha mkuu
No wonder Wayne Rooney alishapata kusema "I hate LFC with passion" kumbe alitoswa pale Melwood park
 
[QUOoff="King Ngwaba, post: 17976276, member: 366055"]Are You Sure?[/QUOTE]
Yes offcourse ni mzima na afya yake inaendelea kuimarika.
 
Rigobert Song hajafa, ni mzima na afya yake inazidi kuimarika.
Habari zilivumishwa kuwa kafa.
Ni kweli mkuu hajafa bana, wamekanusha, but yesterday it was proclaimed that he is dead. Watu wabaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom