Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

......One year anniversary .....

1475933629759.png
 
MARTIN TYLER.

Henderson Goal Vs Chelsea.
"oh nice goal from Liverpool Captain"


Pogba Goal Vs Leicester (unmarked Header)

"MY GOODNESSSS WHAT A SUPERB GOAL FROM POGBAAAA, WELCOME TO PREMIER LEAGUE SCORE SHEET POGBAA"
Akisema Martin Tyler yuko biased akisema MosDef iko poa aiseee!!! But soka bila fitina Haliendi........YNWA ....... GGMU
 
Weka aisee managers na players hahhahahahaha bila kusahau Kevin Nolan aliyetaka kufia kwenye uwanja aifunge man city ili Liverpool ishinde ichukue kombe msimu wa 2013/2014

Aisee "Boyhood" liverpool fans wapo weengi sana. But nitawataja wale ambao ni rahisi kufahamika na watu. Wapo wengi sana.

1.Robert Lewandowski
2.Sergio "Kun" Aguero
3.Ole Gunnar Solskjaer
4.Leighton Baines
5.Leon Osman
6.John O' Shea
7.Rio Ferdnand
8.Arda Turan
9.Daniele De Rosi
10.Aaron Cresswell
11.Andre Ayew
12.Geoffrey Kondogbia
13.Antoine Griezmann
14.Will Hughes
15.Ashley Williams
16.Scott Dann
17.Glenn Whelan
18.Joey Barton
19.Martin ødegaard
20.Delle Ali
21.Kevin De Bruyne
22.William Carvalho
23.Morgan Scheneiderln
24.Matthew Etherington
25.Ross Barkely
26.Steven Fletcher
28.Charlie Austin
29.Adam Hammill
30.Tommy Elphick
31.Theo Walcott
32.Kevin Nolan
33.Steven Beck
34.Robbie Keane
35.Viktor Anichebe (lol)
36.Connor Wickham
37.Stephan Warnock
38.Adebayo Akinfenwa (loool)
39.Peter Reid
40.Dave Watson
41.Jose Baxter
42.Mike Newell
43.Phill Jevons
44.Patrick Roberts
45.Thierry Henry (doubt it though, to be honest, he likes us and SG's best buddy) zaidi ya hapo sidhan kama ni boyhood fan.

Wapo wengi sana, but i guess hao wanatosha, nimejaribu kuchagua wale ambao ni relevant kidogo.

Well, kama ilivyo kwa kina Mike Newell na kina Osman ambao wameichezea Blue noses huku wakiwa ni supporters wa LFC, ni hivyo hivyo kwa kina Robbie Fowler, Michael Owen, Steve McManaman, Phil Thompson etc they all grew up supporting blue noses, but wameichezea LFC..sahiv tunae Adam Lallana ambaye ni boyhood everton fan. Kuna claims kuwa SG alikuwa ni Everton Fan, kwasababu ya ile picha ambayo kavaa jezi ya Everton wakat akiwa mtoto..ile jezi alivalishwa na uncle wake (ambaye ni blue noses supporter) ili kumzingua tu baba ake SG ambaye alikuwa ni LFC fan.

Naikumbuka ile story ya Mzee Wayne Sr (Baba ake Wayne Rooney) ambao family nzima ni Evertonians Through and through, kuna kipindi wakat Rooney alivyokuwa Dogo, alipata nafasi ya kufanya trials na Liverpool fc, baba ake mzee Wayne Sr akampeleka kwenye mazoezi huku kamvalisha jezi za Everton, hahaha..though few months later he signed for Everton. Mzee Wayne ni die hard Blue nose.
 
Managers ambao nawajua kuwa ni Reds, ni Rafa Benitez, Ancelotti, Sven-Goran Erksson, Brendan Rodgers na Roy Hodgson.
 
Rafa Benitez
Xabi Alonso
Dirk Kuyt
Gerrard Houlier
Kevin Keegan
Dietar Hamman
Mark Cuban
Louis Suarez
John McEnroe
Nelson Mandela
King of Kuwait


Strange thing ni kwamba, Luis Suarez supported Real Madrid as a kid.

Dirk Kuyt ni Boyhood Feyenoord fan, he loves liverpool though.
 
Rafa Benitez
Xabi Alonso
Dirk Kuyt
Gerrard Houlier
Kevin Keegan
Dietar Hamman
Mark Cuban
Louis Suarez
John McEnroe
Nelson Mandela
King of Kuwait


Strange thing ni kwamba, Luis Suarez supported Real Madrid as a kid.

Dirk Kuyt ni Boyhood Feyenoord fan, he loves liverpool though.
 
Leading Commentator wa Skysports. Kwa Africa, Supersports wapo associated na Skysports pia. Utampata kwenye games nyingi EPL.

Sawa mkuu nimekupata manake huku nilipo naangalia EPL via MSNBC sports na yupo Mzee mmoja jina limenitoka akishirikiana na Steve McManaman
 
Sawa mkuu nimekupata manake huku nilipo naangalia EPL via MSNBC sports na yupo Mzee mmoja jina limenitoka akishirikiana na Steve McManaman

Oh. Atakuwa ni Ian Darke huyo Aisee.

Ila jaribu kwenye game za FA Cup, huwa anakuwepo NBC mara chache Martin Tyler..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom