Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mbona Coutinho Unaanza Uroho???? Unatupunguzia Magoli Bhana!
Siyo mbaya tutaongeza moja, itakuwa tano moja!Lakini Hawa Hull Wameshatuharibia GD yetu Coz Wameshatupia 1 na wao
Huu ni mwaka wa makamuzi tu mkuu...Huu mwaka angala tutapumzika na stress