Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hahaaaa ... nimeikuta hii somewhereThis one is my BEST WALLPAPER.
Hahahahaha!
Hahaaaa ... nimeikuta hii somewhereThis one is my BEST WALLPAPER.
Hahahahaha!
Hahaaaa ... nimeikuta hii somewhere
View attachment 412857
Kwa mzuka wa ile gemu, ilimbidi tu...that screamer from Gerrard was out of this world!Ila jamaa ali-scream 'gerrrad' kwenye yetu against olympiacous (spelling lol) 2004 if am right
Itakuwa ni rumors tu...Liverpool eyeing Geoffrey Kondogbia For Loan in January??
No way.....
Ok Reds, leo nimeamua kuileta hii LIST ya CELEBRITIES or FAMOUS people ulimwengu ambao wanasupport Liverpool FC..hope kutakuwa na favorite/idol wako mmoja wapo ambaye unashare nae katika kuisupport LFC.
13.Snoop Dogg (Rapper)
Halafu king james ana hisa lfc right?14.Lebron James
15.Leonardo Di Caprio (Actor)
Weka aisee managers na players hahhahahahaha bila kusahau Kevin Nolan aliyetaka kufia kwenye uwanja aifunge man city ili Liverpool ishinde ichukue kombe msimu wa 2013/2014Ok Reds, leo nimeamua kuileta hii LIST ya CELEBRITIES or FAMOUS people ulimwengu ambao wanasupport Liverpool FC..hope kutakuwa na favorite/idol wako mmoja wapo ambaye unashare nae katika kuisupport LFC.
1. Nelson Mandela (Madiba)
2.Pope John Paul The Second.
3.The BEATLES (bar Pete Best)
4.John Bishop
5.Samuel L. Jackson
6.Mike Myers
7.Amitabh Banchan
8.Brad Pitt (Actor)
9.Angelina Jolie (Actress)
10.Liam Neeson (My favorite Actor)
11.Clive Owen (Actor)
12.Dr. Dre (Producer, Rapper)
13.Snoop Dogg (Rapper)
14.Lebron James
15.Leonardo Di Caprio (Actor)
16.Sheamus (Wrestler)
17.Melanie C (Singer)
18.Caroline Wozniack (Women's world number One Tennis player)
19.Graeme Smith (Capt of S.A cricket team)
20. Wayde Van Niekerk (S.A field Sprinter)
21.Saadi Gaddafi (Gaddafi's son)
22.Coleen Rooney (Wayne Rooney's wife)
23.Bob Thornton (Actor)
24.Clive Barker (Books writer, director)
25.Eminen (one of my favorite rappers)
26.chris De Burgh (Singer)
27.Sir Viv Richards (Cricket Legend)
28.Adam Gilchrist (Cricket legend)
29.David Morrisey (Actor)
30.Darren Clarke (Golfer)
31.Kirsty Gallacher (Tv presenter)
32. Barack Obama (USA president. Well he started supporting LFC after his friend John W. henry bought us. His favorite player is Daniel Sturridge).
Hao wanatosha, wapo weengi sana. Sijaweka Football managers na Players. Though nikiweka players two Scums United legends hawawezi kukosekana kwenye list. So sad lol.
Weka aisee managers na players hahhahahahaha bila kusahau Kevin Nolan aliyetaka kufia kwenye uwanja aifunge man city ili Liverpool ishinde ichukue kombe msimu wa 2013/2014
Mimi, Gwamahala!Rafa Benitez
Xabi Alonso
Dirk Kuyt
Gerrard Houlier
Kevin Keegan
Dietar Hamman
Mark Cuban
Louis Suarez
John McEnroe
Nelson Mandela
King of Kuwait
Mimi, Gwamahala!
Ila wasijechoka sana maana hii mimechi ya kimataifa kero kweli. Na jinsi j3 inavyogomagaBrazil 5 Bolivia 0
WC qualification South America!
Coutihno kacheza dakika 90 katupia 1!Firminho kacheza dakika 20 katupia 1
Hii ina maana hawa wachezaji watacheza ugenini na Venezuela J'nne ijayo na kwa perfomance ya leo wote wawili likely wakaanza!
Anyway yote heri maana game yetu ni J'3 tuna siku za kupumzika
una matatizo ya Akili....baada ya kugundua ya kwamba hii ni thread uchwara..hukupaswa kucoment chochote....otherwise we ni miongoni mwa vibaka wanaojiita mashabiki wa manyumbu united...Kithread uchwara hiki...
Ndio kwanza kina coment buku mbili tu
😀😀😀MARTIN TYLER.
Henderson Goal Vs Chelsea.
"oh nice goal from Liverpool Captain"
Pogba Goal Vs Leicester (unmarked Header)
"MY GOODNESSSS WHAT A SUPERB GOAL FROM POGBAAAA, WELCOME TO PREMIER LEAGUE SCORE SHEET POGBAA"
Game yetu na United kama main commentator akiwa ni Martin Tyler, basi tutegemee shit and biased commentary. Sielewagi kwanini jamaa alitunukiwa heshima ya football commentator of the decade. Jamaa always anakuwa biased kila Utd inapocheza, na ana chuki za wazi wazi kwa LFC. Skysports yote wamejaa Scums tu, but kuna baadhi ya Commentators ni very proffesional, kina Daniel Mann, Bill Leslie, Rob Hawthome etc, but for some reasons Main Commentator siku hiyo atakuwa ni Martin Tyler.
Ni bora kuangalia game bila sauti kuliko kusikiliza Sauti ya Martin Tyler, jamaa ni biased sana. Kwenye ile game yetu na Chelsea Comme ntory ilikuwa ni mbovu, watu wengi washalalamikia hili suala lakini for some reason bado Skysports huwa wanampa nafasi kwenye kila games kubwa za LFC, jamaa anashindwa kabisa kuwa proffesional, PETER DRURY kaanza kazi ya utangazaji mwaka 1998, lakini mpaka leo hii hakuna mtu anaejua ni team gan anayoshabikia, ni Very proffesional jamaa, na Joh Champion pia wa ESPN. Gary Neville kachezea Utd miaka yake yote but as a 2nd Commentator (Analysit) jamaa huwa very unbiased, Keeping it proffesional, same goes to Jim Beglin, Mark Lawrenson etc, but Martin Tyler yule mzee ni tatizo..sijui ataretire lini yule mzee.
Very niceCoutinho na Firmino wamefanya Kweli na The Selecaos