Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwa Leo sijaona tofauti ya karius kumzidi mignolet the same mistakes
Mechi yake ya pili EPL
Miggs misimu 7 EPL
Lk perfomance wise wapo sawa
Hata De Gea msimu wake wa kwanza hakuwa kama Karius
Baada ya msimu huu Liverpool itakuwa na kipa bora kuliko wote EPL
Kumbuka Hata Courtious alipelekwa kwa mkopo
 
1475340000429.jpg
Nimechangamya mambo kidogo! WAUNGWANA huyu ni nani?
Pazi
MosDef
Wote
 
Sturridge ndo kawa mzigo aisee. Mipira alikuwa anapoteza na hakabi kabisa. Kaniudhi sana leo
Wakuu tumpeni muda tu, naamini atarudi kwenye game wenyewe tutafurahi. Tukumbuke muda mwingi amekuwa majeruhi. Lakini ado ado atakuja tu!!
 
Thought Coutinho in that deeper role alikuwa ni superb.

Nasubiria siku ambayo nitaiona midfield ya Can-Gini-Phil
 
Karius and Lovren both at fault for Swansea Goal.

But its Karius 2nd game in the EPL..he's young and he'll make mistakes. He needs time kama players wengine. We have a real gem in our hands.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom