respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
tumerudi ila uwanja umejaa maji leo kweli si siku nzuri kwetu tusizarau.
Visingizio huwa havikosekani..
Kwahiyo ukijaa maji ndo inakuwa siku nzuri kwa Swansea??? Kwamba swansea wanauzoefu wa kucheza bwawani...!!!!
Kama hujui,hujui tu.. Ila kubahatisha kupo!!
BACK TANGANYIKA

......
