Game yetu na United kama main commentator akiwa ni Martin Tyler, basi tutegemee shit and biased commentary. Sielewagi kwanini jamaa alitunukiwa heshima ya football commentator of the decade. Jamaa always anakuwa biased kila Utd inapocheza, na ana chuki za wazi wazi kwa LFC. Skysports yote wamejaa Scums tu, but kuna baadhi ya Commentators ni very proffesional, kina Daniel Mann, Bill Leslie, Rob Hawthome etc, but for some reasons Main Commentator siku hiyo atakuwa ni Martin Tyler.
Ni bora kuangalia game bila sauti kuliko kusikiliza Sauti ya Martin Tyler, jamaa ni biased sana. Kwenye ile game yetu na Chelsea Comme ntory ilikuwa ni mbovu, watu wengi washalalamikia hili suala lakini for some reason bado Skysports huwa wanampa nafasi kwenye kila games kubwa za LFC, jamaa anashindwa kabisa kuwa proffesional, PETER DRURY kaanza kazi ya utangazaji mwaka 1998, lakini mpaka leo hii hakuna mtu anaejua ni team gan anayoshabikia, ni Very proffesional jamaa, na Joh Champion pia wa ESPN. Gary Neville kachezea Utd miaka yake yote but as a 2nd Commentator (Analysit) jamaa huwa very unbiased, Keeping it proffesional, same goes to Jim Beglin, Mark Lawrenson etc, but Martin Tyler yule mzee ni tatizo..sijui ataretire lini yule mzee.