Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kesho, team ambayo inaikaribia LFC kwa ukaribu katika Pressing, Spurs inacheza na City. Itabidi tuone Pep atacope vipi na hii system.
 
Exactly my observation.Unakuta Mane anampa kisha anatangulia nafasi nzuri ya mbele.Sturridge badala yakupress fasta ye anaupooza mpaka beki zinakuwa zimejaa.Tatizo ana washabiki royal sana....hawamwambii ukweli wao wanataka apewe afunge aonyeshe ubora wake!

Aongeze bidii kwakweli ila kwa sasa naona hata kupewa game time anapendelewa tu.The manager is avoiding to be a discussion in brirish media
Afadhali ya origi nikweli usemayo anacheza na akili za wenyeji tu lakini hana mipango nae kwakweli
 
klopp anatafuta tu hapo winning mentality, then inakuja 20 games winning streak, karius new surroundings, new league give the guy a time and remember its EPL, YNWA
 
3 important points, bado comeback kwa big boys. Next game ni man utd let's hope we will have good performance na matokeo.

Ila bitoz nyangema alichelewesha ushindi huu kuna moja alitengewa na Mane badala ya kushuti right away akawa anasubiri mabeki waje kumkaba
 
Happy 25th
1475406747793.jpg
 
Kipindi cha pili hatukufanya Genggen pressing",.. amini lallana angeendelea tungeongezwa goli",.. Niulize kwa nini Swansea wana heavy pressing asee kina Countinho hatukuwaona kwa walichokua wabafanya Swansea",..

Baada ya kuingia Sturbridge aliupoza Moira but positively aty" .. tukawa tuna press ila kwa kuupooza ndipo Swansea nao wakapoa",..!!
Ndio maana kipyenga kina pulizwa kocha wao alibaki kama dakika 1 na ½ ivi akitazama uwanjani asiamini..Nimeikubali style playing ya Swansea",..
Karius tumpe muda nimeona utofauti wake kwenye kuanzisha mipira tofauti na Ming's..

Tusubiri baada ya international break tuombe tu watakao itwa Tim zao za taifa wadirudi injury
 
Karius ni mzur akipewa mda,, naona anastyle flan ya kucheza kama Neuer na Bravo... Mignolet safar yake ndo inaishia hapo....
 
Natamani sana tucheze na Man City week ijayo
Hawapo sawa kabisa
Hamna team hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom