everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Leo mi mgeni wako popcorn tu...... taratibu nikishuhudia Swansea wakikutenda tena......Teeehe teeehe itabidi tuyaombe maisha yakupeleke kwenye tv areas![]()
....
Pole mtani muhimu gurudumu lisogee

Leo mi mgeni wako popcorn tu...... taratibu nikishuhudia Swansea wakikutenda tena......Teeehe teeehe itabidi tuyaombe maisha yakupeleke kwenye tv areas![]()
....
Pole mtani muhimu gurudumu lisogee

Kwa sasa DS kuanza ndo habari mkuu.Kuanzia benchi is becoming common now.He's started be used to itLeo bila bao+nitakuwa disappointed
Hawa Swansea walitunga 3-1 game ya mwisho kwa defense ya Skrtel
Leo watakiona cha mtema kuni kwa heavy metal
Nahisi DS ataanzia bench na Lovren atarudi
tehteh unalinda heshima ya home sio safi sana! YNWA!Mtani nimefichwàa sikuhizi,Mtani ubize tu acha kabisa maisha yanatupeleka mpka kwenye remote areas......
Mgeni kama wewe lazima upate na wine .... hawa Swans naona wana press sana bila malengo tutawatungua 4g kulipa kisasiLeo mi mgeni wako popcorn tu...... taratibu nikishuhudia Swansea wakikutenda tena......![]()
![]()
![]()
Leo bila bao+nitakuwa disappointed
Hawa Swansea walitunga 3-1 game ya mwisho kwa defense ya Skrtel
Leo watakiona cha mtema kuni kwa heavy metal
Nahisi DS ataanzia bench na Lovren atarudi
Uwezi waona walishajikatia tamaaMbona mmekimbia hamjiamini?