Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kwenye ligi nadhani ndiyo ana nafasi ndogo sanaMchezaji Wa Kumsikitikia Pia Ni Simon Mignolet Ambaye Kuna Kila Dalili Kuwa Hatokuwa Na Nafasi Tena Ya Kusimama Golini.
Kwenye ligi nadhani ndiyo ana nafasi ndogo sanaMchezaji Wa Kumsikitikia Pia Ni Simon Mignolet Ambaye Kuna Kila Dalili Kuwa Hatokuwa Na Nafasi Tena Ya Kusimama Golini.
Good sign to him.To be just among 40 nomenees of all U21 players in Europe playing in top leagues is positive...
Klopp anatuonyesha vitu ambavyo Rogers asingeviweza karne kwa karne
nawasalimu wana LFC wote naona mambo yenu siku hizi yako gudi gudi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jiulize cadabra ana goli ngapi epl? Ndoutajua kua ligi ya ufarasa ni kimeo..Ballotelli Huko Nice anatupia tu 4Goals in 3Games
Epl top scorers so far...your point is?Jiulize cadabra ana goli ngapi epl?
Angekua ufaransa angekua anaongoza kwa magoli saa hiiEpl top scorers so far...your point is?
2 goals
2 assists
1 Standard Chartered Player of the Month award
Mtani nimefichwàa sikuhiziAsante.....Naona baada ya kushinda sasa unazunguka kwenye majukwaa tu .... ulipotelea wapi mtani?
,Mtani ubize tu acha kabisa maisha yanatupeleka mpka kwenye remote areas......Sasa hapo tofauti si goli 1 tu braza? Au ndiyo kujitutumua tu!Angekua ufaransa angekua anaongoza kwa magoli saa hii
Sasa hapo tofauti si goli 1 tu braza? Au ndiyo kujitutumua tu!
Wewe kweli inziView attachment 409864 bishana na hii
Teeehe teeehe itabidi tuyaombe maisha yakupeleke kwenye tv areasMtani nimefichwàa sikuhizi,Mtani ubize tu acha kabisa maisha yanatupeleka mpka kwenye remote areas......
....