MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Wilson nadhani tu ana bahati mbaya kwenye soka sikutarajia kama graph yake ingeshuka kabisa
Hypes zisizo na msingi, ndo zimempoteza dogo. Ame-stuck now.
Wilson nadhani tu ana bahati mbaya kwenye soka sikutarajia kama graph yake ingeshuka kabisa
Hahaaa downing lol ....
Kinachowapata kina payet msimu huu hadi huruma
Siyo kwamba aliyafunga akiwa bado Liverpool? Watakuwa wamebugi kweli kama wameoverlook hiyo kitu hao BBC!Kwa nini Benteke yupo kwenye liverpool score sheet na magoli yake mawili aliyoifungia crystal palace msimu huu wakuu?nimeikuta BBC.
Liverpool Top Scorers
Rank Player LG LC Total
1 Philippe Coutinho 3 1 4
2 Roberto Firmino 2 1 3
2 Adam Lallana 3 0 3
2 Sadio Mané 3 0 3
2 James Milner 3 0 3
3 Christian Benteke 2 0 2
3 Divock Origi 0 2 2
3 Daniel Sturridge 0 2 2
4 Jordan Henderson 1 0 1
4 Ragnar Klavan 0 1 1
4 Dejan Lovren 1 0 1
Hakufunga kabisa mkuu msimu huuSiyo kwamba aliyafunga akiwa bado Liverpool? Watakuwa wamebugi kweli kama wameoverlook hiyo kitu hao BBC!
Agreed!Hakufunga kabisa mkuu msimu huu
Mkuu ni magoli 24 mpaka sasa mkuu 16 ligi kuu na 8 league cup.Hawajamreplace na mwingine kwa sababu ukiweka na ya Benteke inakuwa 26 kitu ambacho sio kweli.Agreed!
Nimefuatilia ni kweli hakufunga msimu huu...BBC wamechemka hapo. Lakini idadi ya goli ndiyo hiyo 25 kwa timu nzima, I hope kuna mtu wamechanganya hapo wakamuweka Benteke badala ya muhusika halisi.
Watakuwa wamekoseaKwa nini Benteke yupo kwenye liverpool score sheet na magoli yake mawili aliyoifungia crystal palace msimu huu wakuu?nimeikuta BBC.
Liverpool Top Scorers
Rank Player LG LC Total
1 Philippe Coutinho 3 1 4
2 Roberto Firmino 2 1 3
2 Adam Lallana 3 0 3
2 Sadio Mané 3 0 3
2 James Milner 3 0 3
3 Christian Benteke 2 0 2
3 Divock Origi 0 2 2
3 Daniel Sturridge 0 2 2
4 Jordan Henderson 1 0 1
4 Ragnar Klavan 0 1 1
4 Dejan Lovren 1 0 1
Naona wale kop waliokua wanasikitishwa na kuondoka kwa Sahko mda huu Wenge & pressure vimeshuka kwa form ya Lovren,Klavan,Matip.. hihihi ila napenda kumuona akibaki scouse soldier kwa kile kilichotokea Anfield against Dortmund",..
YNWA*
Sakho anasikitisha kwakweli.Yale maandishi ndo yamemuharibia kabisa.One thing sure is that he loves LiverpoolSakho kucheza kwake mpaka itokee serious injuries kifupi career yake lfc imeisha
Sakho anasikitisha kwakweli.Yale maandishi ndo yamemuharibia kabisa.One thing sure is that he loves Liverpool
Sakho anashindwa Subra tatizo muda mwengine kama Good player wewe vumilia subiri ila Subira hana, Sakho hata alivyoondoka PSG pia ni timu anaipenda ila aliondoka kwa ugomvi wa style ya hivihivi tunampenda ila ni muda wa kuipenda timu zaidi na kusikiliza ya Manager! Sakho avumilie muda wake ukija atumie.Sakho anasikitisha kwakweli.Yale maandishi ndo yamemuharibia kabisa.One thing sure is that he loves Liverpool
Cha msingi ndiyo hicho, aombe msamaha tu!Angeomba msamaha tu
Kushindana na JK pale Andield ni sawa na mchezaji wa Atletico kushindana na Diego Simeone
Sakho kucheza kwake mpaka itokee serious injuries kifupi career yake lfc imeisha
Atasimama tu golini coz kuna FA na kombe la ligi mkuu.Mchezaji Wa Kumsikitikia Pia Ni Simon Mignolet Ambaye Kuna Kila Dalili Kuwa Hatokuwa Na Nafasi Tena Ya Kusimama Golini.
Angeomba msamaha tu
Kushindana na JK pale Andield ni sawa na mchezaji wa Atletico kushindana na Diego Simeone
Sakho anashindwa Subra tatizo muda mwengine kama Good player wewe vumilia subiri ila Subira hana, Sakho hata alivyoondoka PSG pia ni timu anaipenda ila aliondoka kwa ugomvi wa style ya hivihivi tunampenda ila ni muda wa kuipenda timu zaidi na kusikiliza ya Manager! Sakho avumilie muda wake ukija atumie.
Jana alikuwa na U23 pia alitembelea academy for sure subira inam-cost sana. Klopp wakati anazungumzia ulalamishi wa Sakho alimsifu Moreno kwa jinsi alivyochukulia positive namba yake kupokwa na MilnerCha msingi ndiyo hicho, aombe msamaha tu!