Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Bravo ni kipa mwenye mapepe sana kama ataendelea hivi na akapangwa against us I bet 4+ goals tutashinda bila tatizo kabisa
Mkuu hapo kwenye kids tafadhali niongezee huyu dogo Ovie Ejaria ... usimuweke kwenye kundi la etc![]()
![]()
Last season kwenye game zenu nane za mwanzo tulikuwa na goals 6 au ngapi zile??..
Bravo ni good ball playing GK, anafaa kwenye system ya Pep..he's not a Top shot-stopper kama De Gea or Lloris but ni very good distributer..did well at Barcelona. Naona tu pressure ya League inamsumbua..but atatulia tu.
Neuer ndiyo ana kila kitu, Complete GK..good shit stopper na Good ball playing GK..
Karius ana hizo attributes pia..but ni mapema mno kumweka katika kundi la TOP EPL GKs now..ndo kwanza anaanza kazi yake. But naamini he'll be there very soon.
Umemuweka WOODBURN?Lol nilimsahau Ejaria...
Haha
Hahaaa hapo naamini mkono umeteleza ...... zile zilikuwa 6 tu
Umemuweka WOODBURN?
Yaah akiacha tu hizo pressure ... ila I wish awe nazo hadi kwenye game yetu
Huyu ni another level
Nahitaji apewe 4-5 games ikiwemo ya man u ili nimfaidi vizuri
namuangali mechi za u23 huyu moodburn anatupia balaa yani yuko pouwa sana. hata preseason nadhani alikuwa na golas kama 3 hvYeah, siwez kumsahau Woodburn..nilimweka Aisee.
Yasije yakawa kama ya Harry Wilson though..dogo kaporomoka kabla hata ya kuingia first team ya LFC..problem ya Wales, dogo yoyote akichomoza tu wanaanza kumjumuisha kwenye kikosi chao cha National team..they did that kwa Harry Wilson at some point, moja kati ya vitu vilivyoharibu maendeleo yake, na lile jina la "New Bale"...si muda wataanza kwa Woodburn.
Karius analipwa ngapi?Karius ndiyo our First choice GK, Migs ni 2nd choice. So mpaka Karius aumie au awe na form mbovu, ndiyo Migs atarudi golini..but italeta competition Kiasi na ndo kitu anachotaka Klopp.
Migs is on 95k per week, only cech, De Gea and Bravo are above him kwenye mshahara. And he's 2nd choice GK.
Karius analipwa ngapi?
Duh!Lol, you'll be dissapointed..
Hajafika bado hata kwenye 30k..but atapata tu mshahara mzuri, anahitaji kujiimarisha zaidi..
Nadhani kwa summer signings zetu, ni Matip, Mane na Gini ndo wanapata mshahara mzuri..
Duh!
Basi waliomshawishi wana utaalamu sana, anyway ajitahidi akomae na kujiestablish fedha itakuja tu!
I wish we could sign Antonio Griezman
Yeah, siwez kumsahau Woodburn..nilimweka Aisee.
Yasije yakawa kama ya Harry Wilson though..dogo kaporomoka kabla hata ya kuingia first team ya LFC..problem ya Wales, dogo yoyote akichomoza tu wanaanza kumjumuisha kwenye kikosi chao cha National team..they did that kwa Harry Wilson at some point, moja kati ya vitu vilivyoharibu maendeleo yake, na lile jina la "New Bale"...si muda wataanza kwa Woodburn.
Gotta feel for Payet. Such a baller..but hakuwa na bahati, watu wameanza kuona kipaji chake tayari umri ukiwa ushaenda..kaja EPL akiwa na miaka 29..kama akimove january or summer nadhan itakuwa ni China kuvuna Pesa au back to France, PSG maybe?
Comolli wanted him back in 2010/11..Dalglish opted for Downing.