Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Smile
1474798794861.png
 
Hands down to Lallana..man is becoming a force at LFC.

He has turned his LFC career around.
 
Mane is the Best EPL signing so far this season. Not even a doubt.
 
Pep Vs Klopp itakuwa ni Cracker.

Mpaka sasa Head to Head records zao ni Ngoma Draw, and pep hates to play against Klopp.

Wote ni BIG GAMES MANAGERS.

Pep has turned Sterling's city career around, Klopp kafanya hivyo kwa Adam Lallana.

Pep amewabadilisha Kina Stonea, Kolarov, Otamendi etc, Klopp kafanya hivyo kwa kina Lovren, Henderson, Milner etc..

Wote wawili, ubora wao katika kudefense ni Ku-attack..BUT KLOPP is the PRESSING KING.
 
Clyne anatakiwa arudi kwenye form yake ya last season, he's been average, last season kacheza game nyingi sana, na akiumia tu, we're screwed.

But hope atarudi kwenye form yake again..

Moja kati ya biashara nzuri tulizofanya na Southampton..Next summer Van Djik lazima tum-bebe nae..Southampton ni partners wetu wazuri.
 
Lallana is playing very good to be honest.

He's so good.
 
My main man GINI though..just keeping it simple.

Anahitaji goal tu kwasasa.
 
Our next FOUR games..hapo naona kimbembe kitakuwa ni Cystal Palace away, i can see us struggling there..i'll accept a draw. Look foward for Swansea game pia..ni tricky kidogo..they're playing good football..Fer is so good, dominated Gundogan Yesterday, walipoteza mwelekeo baada ile Penalty, but ni team nzuri sana. Klopp aliwadharau last season akawapangia kina Chilverla..na wakatuadhibu. Time to get Revenge..
 
Attachments

  • imagennn.jpg
    imagennn.jpg
    40.4 KB · Views: 37
Kwakweli yupo vizuri, kwenye ile gemu ya kombe la ligi kuna attributes niliziona...ni typical Neuer!

Bonge la passer..unlike Migs ambaye anapenda kupiga mpira mbele..Karius anaanzia nyuma kama Neuer au Bravo..
 
Good news ni kwamba we'll try to get Dahoud in January.

He's 20, Grujic is 19, Can is 22, Gini is 25, Stewart is 23, Then you've got Branno and Pedro stepping up..we're building kitu special sana.

Then una kids kama Woodburn, Dhanda, Gomes, Ojo, Adekenye etc..add Pulisic there, and we're flying.
 
Juzi kwenye Pre-Match presser, Klopp alisema unapocheza na Low block oppositions hutakiwi kupanic na kupiga 45 yards shots kila mara, nahis alikuwa anampiga dongo Coutinho..Game ya Jana naona Coutinho hakupiga mashuti mengi, thats why alitengeneza nafas nyingi sana, maana tumezoea kuona Cou, akicut inside na kupata space kinachofata ni shuti, but jana alibadilika kidogo, na attacking system ikaleta matunda mengi zaidi.

THOUGH, MJASIRI HAACHI ASILI, HAHAHAHAHAHAHA. GOLAZOOOOOO FROM MY SAMBA BOY.
 
Hata mm Swansea nawaogopa walimpigia City mpira mzur sana ...hopefully tutashinda au at least draw, Ila saivi Klopp namuaminia yaan now a days we are playing kiteam zaidi... ule ukiritimba wa Sturridge kujifanya star wa team umekwisha
 
Well said na hicho ndo kinatakiwa kiwepo sio kumtegemea mtu mmoja akiumia au akishuka tunakosa muelekeo. Cheki sasa hiv kila mtu anafunga mpk raha.....lalana 3, mane 3, coutinoh 3, milner 3, firmino 2.....so we can gave goals from anyone!!!!
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Bonge la passer..unlike Migs ambaye anapenda kupiga mpira mbele..Karius anaanzia nyuma kama Neuer au Bravo..
Bravo ni kipa mwenye mapepe sana kama ataendelea hivi na akapangwa against us I bet 4+ goals tutashinda bila tatizo kabisa
 
Good news ni kwamba we'll try to get Dahoud in January.

He's 20, Grujic is 19, Can is 22, Gini is 25, Stewart is 23, Then you've got Branno and Pedro stepping up..we're building kitu special sana.

Then una kids kama Woodburn, Dhanda, Gomes, Ojo, Adekenye etc..add Pulisic there, and we're flying.
Mkuu hapo kwenye kids tafadhali niongezee huyu dogo Ovie Ejaria ... usimuweke kwenye kundi la etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom