Hawawezi wale..na Juve hawawezi toa £35m+ for him, they're packed kwenye midfield.
Ninachohisi ni kwamba kama ikifika January, na bado hawajasettle ishu yao ya mkataba..higher bidder yoyote anaweza akamchukua..nadhan kama City wakiwa interested anaweza akawa tempted. But Klopp anaweza akamu-assure muda wa kucheza, kitu ambacho kitakuwa kigumu kukipaata City, considering form ya Fernandinho kwa sasa..tuna nafasi kubwa sana ya kumsign..nadhan BMG hawakupendezwa na Tap-in aliyofanya Klopp..but tutampata tu. He shares the same agent with Emre and Yesil.