Hakukuwa na kashi kashi yyt ya maanaNaona kujua kiwango cha karius kwa mlioangalia mechi
HENDO KAUMIA
Tuombe isiwe serious
HENDO yupo kwenye kiwango sana now
Na KlavanDerby 0--3 lfc
goals from Coutinho & Origi
Barca tulimbaka nyumbani kwake, pia juzi tumempiga nneHivi kati yangu nawe nani limbukeni yani toka uanze fatilia mpira hujawai iona LIVER ikichukua japo EPL mara moja leo unaifananisha liver na Madrid wakat uefa hata nusu ya makombe yake huna AKILI ZAKO ZIMEGANDA KWA UKIWA WA MAKOMBE
Easy game!EFL 4th ROUND.
LIVERPOOL FC Vs SPURS. (Anfield)
24/25 October 2016.
Afadhali tukachukue ile pointi moja tuliyowaachia na ile moja iliyobaki ina-hang(kwenye PL). We are going for next roundEFL 4th ROUND.
LIVERPOOL FC Vs SPURS. (Anfield)
24/25 October 2016.
Yaah kwa asilimia nyingi sana wacha aanze ili nimuone vizuri kama atakuwa ni mshindani wa MigsInaonekana Karius ataanza kesho golini.